Featured Michezo

YANGA SC KUWANIA TUZO KIPENGELE CHA KLABU BORA AFRIKA

Written by mzalendo

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita Yanga SC wanawania tuzo ya klabu bora kwa wanaume kutoka CAF kwa mwaka 2023.

Tuzo hizo zitatolewa Desemba 11 nchini Morocco

About the author

mzalendo