Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe.Fahad Rashid Al-Muraikhi, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe.Fahad Rashid Al-Muraikhi mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe.Fahad Rashid Al-Muraikhi mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma