Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

TANZANIA NA SOS KUSHIRIKIANA KATIKA MIKAKATI YA MALEZI NA USTAWI WA MTOTO

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis (katikakati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na rais wa Shirika la SOS Children’s Villages Dkt. Dereje Wordofa (wa pili kushoto waliokaa), Kamishna wa Ustawi wa Jamii nchini Dkt. Nandera Mhando (wa pili kulia waliokaa) na watumishi wa Shirika la SOS Children’s Villages mara baada ya kikao kati ya Wizara na Shirika hilo kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam.

Na WMJJWM, Dar-es-Salaam

Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Shirika la SOS Children’s Villages wamekubaliana kuendelea kuwekeza katika mikakati ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto ili kuondokana na vitendo vya ukatili dhidi yao.

Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ameyasema hayo wakati akizungumza na rais wa Shirika la SOS Children’s Villages Dkt. Dereje Wordofa katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar-es-Salaam.

Naibu Waziri Mwanaidi amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa wadau wote wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi ili kuhakikisha Mashirika yanatoa huduma bora na stahiki kwa kuzingatia Sera, Sheria, Kanuni na miongozo iliyopo nchini kwa maslahi ya wananchi.

Aidha, amepongeza jitihada zinazofanywa na SOS Children’s Villages za kutoa huduma kwa wananchi wa Tanzania kwa kuzingatia sheria na mikataba ya Kimataifa ambayo nchi imeiridhia na kuongeza wigo wa huduma kutoka zile za kuhudumia watoto kwenye Makao hadi kushiriki kwa kutoa mchango wa kitaalamu na fedha kwenye uandaaji wa Sheria, Kanuni na miongozo mbalimbali ya huduma za Ustawi wa Jamii nchini.

“Matarajio ya Serikali ni kuona Shirika hili linaendelea kutoa mchango wa kitaalamu na rasilimali fedha katika kuimarisha huduma za kijamii kwa wananchi kupitia miradi inayoitekeleza na kufanikisha utekelezaji wa vipaumbele vya Wizara.” Amesema Naibu Waziri Mwanaidi.

Amevitaja vipaumbele vya Wizara ni pamoja na kukamilisha mchakato wa uandaaji wa rasimu ya Sheria ya Huduma za Ustawi wa Jamii nchini, kukamilisha mapitio ya Sheria ya Mtoto Sura ya 13 na Kanani zake na kukamilisha Rasimu ya Muundo wa Idara ya Ustawi wa Jamii.

Vipaumbele vingine ni kuimarisha masuala ya ulinzi wa mtoto hususan uimarishwaji wa Mifumo ya Malezi Mbadala na afua za Watoto Wanaoishi na Kufanya Kazi Mitaani, Kuandaa Mfumo Jumuishi wa Taarifa za Ustawi wa Jamii nchini, Kuimarisha afua za kuzuia na kupambana na ukatili wa Kijinsia na Ukatili Dhidi ya Watoto na Kuandaa Mwongozo wa Majukumu ya Wataalam wa Ustawi wa Jamii kwa kila Sekta.

“Shirika hili limekuwa mdau mkubwa wa Serikali katika utekelezaji wa miongozo ya uimarishaji wa mifumo na utoaji wa huduma kwa watoto na familia zilizo katika mazingira hatarishi hususan watoto na familia zilizo katika mkoa wa Arusha, Mwanza, Dar es Salaam, Iringa, Zanzibar na maeneo mengine ya nchi” alisisitiza Naibu Waziri Mwanaidi

Kwa upande wake rais wa Shirika la SOS Children’s Villages Dkt. Dereje Wordofa amesema Watoto wengi wanakosa huduma muhimu kutokana na wazazi au walezi kutowekeza kwa watoto wao hasa katika kipindi cha malezi na Makuzi hivyo ni muhimu kuwekeza kwao ili kuwa na jamii iliyo imara.

Naye Kamishna wa Ustawi wa Jamii Nchini Dkt. Nandera Mhando amesema Shirika hilo limekuwa na msaada Mkubwa kwa jamii ya Kitanzania kwani limeanzisha vijiji ambavyo vinalea na kutunza Watoto wasio na wazazi au walezi na wale waliopo katika mazingira hatarishi na kutimiza ndoto zao za kupata huduma mbalimbali muhimu ikiwemo elimu na Afya.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis akisalimiana na rais wa Shirika la SOS Children’s Villages Dkt. Dereje Wordofa alipowasili katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam katika ziara yake ya kikazi nchini Tanzania.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis akizungumza na rais wa Shirika la SOS Children’s Villages Dkt. Dereje Wordofa alipowasili katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam katika ziara yake ya kikazi nchini Tanzania.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis akizungumza katika kikao kati ya Wizara na Shirika la SOS Children’s kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam kushoto ni rais wa Shirika la SOS Children’s Villages Dkt. Dereje Wordofa.

rais wa Shirika la SOS Children’s Villages Dkt. Dereje Wordofa akizungumza katika kikao kati ya Wizara na Shirika la SOS Children’s kilichofanyika katika Ofisi ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam kulia ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis.

Kamishna wa Ustawi wa Jamii nchini Dkt. Nandera Mhando (kulia) akifafanua masuala mbalimbali yahusuyo Ustawi wa Jamii wakati wa kikao kati ya Wizara na Shirika la SOS Children’s kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam katikati ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis na kushoto ni rais wa Shirika la SOS Children’s Villages Dkt. Dereje Wordofa.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la SOS Children’s Villages wakiwa katika kikao kati ya Naibu Wazara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na rais wa Shirika hilo Dkt. Dereje Wordofa kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis (katikakati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na rais wa Shirika la SOS Children’s Villages Dkt. Dereje Wordofa (wa pili kushoto waliokaa), Kamishna wa Ustawi wa Jamii nchini Dkt. Nandera Mhando (wa pili kulia waliokaa) na watumishi wa Shirika la SOS Children’s Villages mara baada ya kikao kati ya Wizara na Shirika hilo kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar Es Salaam.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

About the author

Alex Sonna