Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

WAZIRI NDALICHAKO AZITAKA TAASISI ZA UMMA KUWA NA WATAALAMU WA LUGHA YA ALAMA

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Septemba 20,2023 jijini Dodoma  kuelekea Siku ya maandalizi ya Maadhimisho ya Wiki ya Viziwi yanatarajia kufanyika  Septemba  25 hadi 30 mwaka huo jijini  Mbeya.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA), Adam Shaibu (kulia) akieleza jambo kwa Waandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Viziwi. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako na Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma kwa Watu wenye Ulemavu, Rasheed Maftah. 

Na-Alex Sonna – Dodoma.

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amezitaka Taasisi za Umma kuhakikisha zinakuwa na wataalam wa lugha ya alama ili inapohitajika kutoa huduma kwa wateja wenye Uziwi pasiwe na kikwazo katika kuwasiliana.

Wito huo umetolewa leo  Septemba 20, 2023 jijini Dodoma na Waziri Ndalichako wakati akizungumza na waandishi wa Habari kuelekea Siku ya maandalizi ya Maadhimisho ya Wiki ya Viziwi yanatarajia kufanyika  Septemba  25 hadi 30 mwaka huo jijini  Mbeya.

“Malengo ya Serikali ni kuhakikisha Kila taasisi inakuwa na wataalam wa Lugha ya alama hivyo Miongozo imeandaliwa ni vyema kila taasisi ihakikishe watu wote Wenye Ulemavu wanajumuishwa katika Fursa zote za maendeleo,”amesema Prof.Ndalichako

Aidha Prof.Ndalichako amesema maadhimisho hayo yametokana na mahitaji na changamoto zilizokuwa zinawakabili Viziwi Duniani ndio maana ikatengewa wiki yake ambapo hufanyika Kila Mwaka wiki ya mwisho ya Mwezi Septemba.

“Serikali ya Tanzania inaungana na Viziwi wote Duniani katika maadhimisho ya Wiki hii na tunahimiza matumizi ya Lugha ya alama na ndio maana kauli Mbiu ya wiki hiyo Inasema “Dunia ambayo popote walipo Viziwi wanaweza kutumia Lugha ya alama”amesema Prof.Ndalichako

Hata hivyo amewataka Wananchi kuendelea kuwathamini watu Wenye Ulemavu kwani wameshathibitisha kuwa Ulemavu wao sio kikwazo katika shughuli za maendeleo.

“Nitoe rai kwa wananchi wenzangu wa Tanzania kuwathamini na kuziunga mkono kazi zinazofanywa na Watu Wenye Ulemavu kwani wameshathibitisha kuwa sio kikwazo katika shughuli za maendeleo,”

Aidha amefafanua  lengo la kuanzishwa kwa wiki ya Viziwi Duniani ni kutoa fursa Watu wa Jamii ya Viziwi kushiriki kwenye shughuli mbalimbali za Maendeleo kwa kushirikiana na jamii zinazowazunguka bila kuwepo vikwazo vyovyote ikiwemo vikwazo vya mawasiliano yao.

”Serikali inayoongowa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuchukua hatua mbalimbali kwa ajili ya ustawi wa Watu wenye Ulemavu nchini ikiwa ni pamoja na Watu wa Jamii ya Viziwi ambapo elimu imeendelea kutolewa kwa umma na wadau mbalimbali kuhusu changamoto zinazo kabili kundi hilo ikiwemo kuhamasisha utamaduni wa kuwasiliana kwa kutumia lugha ya alama.”amesema 

Kwa upande wake, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA), Adam Shaibu ameishukuru serikali kwa kutoa ushirikiano na kuwamini Watu wenye Ulemavu ikiwemo kuwapatia fursa za kiuchumi, kijamii, kiuongozi na ajira.

Kauli mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu 2023 ni “Dunia ambayo Popote Walipo Viziwi Wanaweza Kutumia Lugha ya Alama.”

Kauli mbiu hii inalenga kila taasisi inayotoa huduma kwa jamii inakuwa na mkalimani wa lugha ya alama sambamba na kuwajengea uwezo watumishi wake kuwa na uelewa wa lugha ya Alama.

About the author

Alex Sonna