Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA WAMASAI JIJINI ARUSHA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa kimila wa Wamasai  ‘Laigwanan’ wakati alipowasili katika eneo maalum la mikutano la Marya ambalo ni sehemu ya kufanyia ibada za mila na bunge linalojadili na kutatua migogoro ya Jamii ya Wamasai lililopo kwenye viwanja vya Chuo cha Ufundi Arusha,   Machi  10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifanyiwa maombi maalum na  viongozi wa kimila wa Wamasai ‘Laigwanan’ wakati  alipozungumza nao kwenye eneo maalum la mikutano la Marya ambalo ni sehemu ya kufanyia ibada za mila na bunge linalojadili na kutatua migogoro ya Jamii ya Wamasai lililopo kwenye viwanja vya Chuo cha Ufundi Arusha,   Machi  10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivishwa vazi la heshima na viongozi wa kimila wa Wamasai wakati alipozungumza nao kwenye eneo maalum la mikutano la Marya ambalo ni sehemu ya kufanyia ibada za mila na bunge alinalojadili na kutatua migogoro ya Jamii ya  Wamasai lililopo kwenye viwanja vya Chuo cha Ufundi Arusha,  Machi  10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  viongozi wa kimila wa Wamasai ‘Laigwanan’ kwenye eneo maalum la mikutano la Marya ambalo ni sehemu ya kufanyia ibada za mila na bunge linalojadili na kutatua migogoro ya Jamii ya Wamasai lililopo kwenye viwanja vya Chuo cha Ufundi Arusha,   Machi  10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor