Featured Kitaifa

ZIFAHAMU SABABU KUU NNE BEI YA MAFUTA KUPAA

Written by mzalendoeditor

Kupanda kwa bei za mafuta nchini kumekuwa kwa mara kwa mara na hizi ndizo sababu ambazo zinatajwa na waataalama katika sekta hiyo ya Nishati nchini
1. Gharama za uagizaji wa mafuta. Kwa mfano kipindi cha mwezi Machi hadi Agosti 2022, tani moja ya mafuta yalinunuliwa kati ya dola 34 na 123, wakati kwa mwaka huu (2023) kwa kipindi hicho hicho, tani moja ya mafuta yalinunuliwa kati ya dola 70 na 156.
2. Gharama za usafirishaji kwa maana ya kukodi Meli. Urusi ndiye mwenye Meli nyingi za kusafirisha mafuta. Baada ya vikwazo kuna upungufu wa Meli zaidi ya 250.
3. Ongezeko la Bima
4. Wazalishaji wamepunguza kuzalisha mafuta.

About the author

mzalendoeditor