Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA AELEZA MAFANIKIO YA WIZARA YA ELIMU NDANI YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akizungumza wakati akielezea mafanikio ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ndani ya mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita Madarakani.  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akisisita jambo wakati akielezea mafanikio ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ndani ya mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita Madarakani. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Elimu), Prof. Caroline Nombo akizungumza na wadau mbalimbali wa elimu wakati Wizara hiyo ikielezea mafanikio yaliyopatikana ndani ya mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita. Mkurugenzi wa Raslimaliwatu na Utawala wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Bw.Moshi Kabengwe akizungumza na wadau mbalimbali wa elimu wakati Wizara hiyo ikielezea mafanikio yaliyopatikana ndani ya mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU), Prof. Charles Kihampa akizungumza na wadau mbalimbali wa elimu wakati Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikielezea mafanikio yaliyopatikana ndani ya mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Dkt. Bugwesa Katale akizungumza na wadau mbalimbali wa elimu wakati Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikielezea mafanikio yaliyopatikana ndani ya mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Dkt. Charles Msonde akizungumza na wadau mbalimbali wa elimu wakati Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikielezea mafanikio yaliyopatikana ndani ya mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita. Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bi. Bahati Geuzye akizungumza na wadau mbalimbali wa elimu wakati Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikielezea mafanikio yaliyopatikana ndani ya mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita. Mkurugenzi wa Taasjsi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt.Aneth Komba akizungumza na wadau mbalimbali wa elimu wakati Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikielezea mafanikio yaliyopatikana ndani ya mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita.Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akipata picha ya pamoja na baadhi ya Wakurugenzi wa Taasisi za Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakati akielezea mafanikio ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ndani ya mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita Madarakani. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akipata picha ya pamoja na baadhi ya Wakurugenzi wa Wizara hiyo wakati akielezea mafanikio ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ndani ya mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita Madarakani.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

**************************

Serikali ya Awamu ya Sita imetoa kipaumbele katika Sekta ya Elimu kwa kuhakikisha mindombinu ya shule za msingi na sekondari imeboreshwa ili kila mtoto wa Kitanzania apewe nafasi ya kupatiwa elimu bora na ya uhakika.

Akizungumza leo Jijini Dar es Salaam wakati akielezea mafanikio ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ndani ya mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita Madarakani mbele ya wadau mbalimbali wa elimu amesema, kumekuwa magaeuzi makubwa katika sekta ya elimu nchini katika huu mwaka mmoja.

Waziri Mkenda amesema kumekuwa na msukumo mkubwa kuhakikisha kila mtoto anakwenda shule kitu ambacho kimeongeza idadi ya watoto wanaojiunga na masomo kwa shule za Sekondari ambapo kwa mwaka huu zaidi ya wanafunzi laki Tisa wamejiunga na kidato cha kwanza.

“Ningependa niliseme jambo hili kwa sababu si wote mtaliangalia kwa jicho hili, Rais wetu, Samia Suluhu Hassan amechukua hatua mbalimbali kuhakikisha kila mtoto anaenda shule, uwekezaji alioufanya umetuwezesha kuchukua wanafunzi zaidi ya laki Tisa kwa mkupuo kuingia kidato cha kwanza”, alisema Prof. Mkenda.

Aidha amesema amepokea maagizo kutoka kwa Rais Samia mara kadhaa yanayomtaka kuhakikisha watoto wote hata wale walioacha shule kwa sababu mbalimbali ikiwepo kupata mimba, watafutiwe mkakati wa namna ya kurudi shule.

Amesema katika kuhakikisha miundombinu ya shule inaandaliwa kupokea idadi kubwa ya wanafunzi kwa mwaka huu, sekta ya elimu imepokea robo ya mgawanyo wa fedha za mpango wa maendeleo kwa ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya UVIKO – 19 ambapo jumla ya madarasa 15,000 yamejengwa kutokana na fedha hizo.

Ameeleza kuwa kwa upande wa elimu ya juu, ndani ya mwaka mmoja fedha za mikopo zimeongezwa kutoka Bil 464 hadi 570 na kuagiza asilimia sita (6%) iliyokuwa inatozwa kwa ajili ya kulinda thamani ya hela iondolewe na asilimia kumi (10%) kama adhabu ya kuchelewa kulipa ifutwe hii inapelekea wanafunzi wengi kusoma bila kikwazo.

“Kwenye bajeti ya Wizara ya Elimu mwaka huu, tumeongezewa fedha ambazo zimetuwezesha kuchapisha vitabu maalumu ambapo jumla ya vitabu 9,178 kwa ajili ya wanafunzi 353 wasioona na 93,366 kwaajili ya wanafunzi 3,591 wenye uoni hafufi vilivyogharimu shilingi mil 770, lakini pia kuna shule zimejengwa kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu kama vile Lukuledi- Masasi, Patandi – Arusha na shule zingine zote tuna mwongozo unaohakikisha tunatoa huduma”. Amesema

Prof. Mkenda ametoa rai kwa Watanzania wote wenye watoto ambao wana ulemavu wa aina mbalimbali kutowafungia ndani bali watumie fursa za elimu ambazo zimeandaliwa kwa ajili ya watoto wote.

About the author

Alex Sonna