Featured Kitaifa

RAIS DKT.MWINYI ATETA NA MWAKILISHI MPYA WA TAASISI YA HIFADHI YA WATOTO YA UMOJA WA MATAIFA

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na  mgeni wake Mwakilishi mpya wa Taasisi  ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa Bibi. Elke Wisch alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake  Mwakilishi mpya wa Taasisi  ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa Bibi. Elke Wisch alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na  Mwakilishi mpya wa Taasisi  ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa Bibi. Elke Wisch (kushoto) alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisalimiana na  Mwakilishi mpya wa Taasisi  ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa Bibi. Elke Wisch, alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo  na  Mwakilishi mpya wa Taasisi  ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa Bibi. Elke Wisch, alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar .

About the author

mzalendoeditor