Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

gameofbet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

jojobet

Featured Kitaifa

MAJALIWA AVUTIWA UJENZI SOKO LA MACHINGA JIJI DODOMA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye eneo la Bahi Road Jijini Dodoma kukagua ujenzi wa Soko la Machinga Complex, Machi  9, 2022. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka.

Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kukagua ujenzi wa Soko la Machinga Complex jijini Dodoma, 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Soko la Machinga Complex, Bahi Road jijini Dodoma, 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mhandisi wa jiji la Dodoma, Ludigija Ndatwa amable alitoa maelezo kuhusu michoro ya Soko la Machinga Complex  linalojengwa eneo la Bahi Road jijini Dodoma  wakati alipokagua ujenzi huo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua ujenzi wa Soko la Machinga Complex, Bahi Road jijini Dodoma, Machi 9, 2022. Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Innocent Bashungwa, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka na kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa Dodoma, Dkt. Fatuma Mganga. 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka,akielezea mradi wa ujenzi wa Soko la Machinga Complex muda wa ujenzi huo.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka (katikati) ambaye alitoa maelezo kuhusu vibanda vya Wamachinga wakati Waziri Mkuu alipokagua ujenzi wa Soko la Machinga Complex, Bahi Road jijini Dodoma, Machi 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

……………………………………………

  • Aagiza masoko zaidi ya wamachinga yajengwe

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ana dhamira ya dhati kuhakikisha kila Mtanzania anapata fursa sawa ya kufanya biashara katika mazingira bora na rafiki kwa biashara ili kukuza uchumi.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo Machi 9, 2022 wakati akikagua  mradi wa ujenzi wa Soko la Wafanyabiashara Wadogo (Machinga Complex) lililoko barabara ya Bahi Mkoani Dodoma na kusema ameridhishwa na ujenzi wa soko hilo. 

“Lengo la maboresho haya kwa wafanyabiashara wadogo ni kutaka kutengeneza fursa zaidi  kwa kuwa na maeneo salama yanayotambulika na yanayoweza kutumika na taasisi za kifedha kutoa mikopo na fursa nyingine za kiuchumi.”

Waziri Mkuu ameupongeza uongozi wa Mkoa wa Dodoma kwa ubunifu na kuwataka viongozi hao waendelee kusimamia mradi huo na kuukamilisha kwa wakati pamoja na kubuni maeneo mengine ya nje ya mji Ili kukuza maeneo mengi zaidi kibiashara katika mkoa huo.

AIdha, Waziri Mkuu amewataka wafanyabiashara wadogo wa mkoa huo wafuate utaratibu utakaowekwa na mkoa huo mara baada ya ujenzi kukamilika. “Serikali imeendelea kutafuta fursa za kifedha kwa wafanyabiashara wadogo, hivyo jipangeni kutumia fursa hizo kwa uaminifu.”

Kwa upande wake, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- (TAMISEMI), Innocent Bashungwa amesema Mkoa wa Dodoma umefanya kazi kubwa ya kutekeleza mradi rafiki kwa wamachinga wa mkoa huo. “Niwasihi wakuu wa mikoa mingine kuiga mfano huu kwa kujenga miradi ya kuwapanga machinga kulingana na mazingira yaliyo katika mikoa yenu.”

Naye, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa vijana kuendelea kutumia fursa mbalimbali zinazotolewa na Serikali ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Awali, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amesema mradi huo utakapokamilika mwezi mei, machinga wote walioko katika maeneo ya jiji la Dodoma watahamishiwa kwenye eneo hilo rasmi.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Bw. Joseph Mafuru amesema mradi huo unatarajiwa kukamilika Mei mwaka huu na utagharimu shilingi bilioni 7.5 hadi kukamilika kwa awamu zote huku akisema kuwa mradi huo utakuwa na manufaa makubwa kwani utaiwezesha Halmashauri kukusanya shilingi bilioni 1.1 kwa mwaka.

Nao, wafanyabiashara ndogondogo ambao ndio wanufaika wa mradi huo wameishukuru Serikali kwa kuwezesha ujenzi wa mradi huo na kwamba wako tayari kupokea maelekezo ya mkoa na kufanya biashara katika eneo hilo.

About the author

Alex Sonna