Featured Kitaifa

TANZIA MWENYEKITI WA ZAMANI WA SIMBA AFARIKI DUNIA

Written by mzalendoeditor

Alikuwa General Manager Tanzania Tea Blenders,Mwenyekiti wa klabu ya Simba na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Temeke Ayubu Salehe Chamshama amefariki Dunia Agosti 11, 2023 Nchini India.

Ndugu Soud Ayubu Chamshama Wa Chang’ombe Dar es saalam anasikitika 
kutangaza kifo cha Baba Yake mzazi anayeitwa Ayubu Salehe Chamshama Kilichotokea tarehe 11 Agosti 2023
Nchini India
Mazishi yatafanyika siku ya Jumanne Tarehe 15 Agosti 2023 huko Lushoto Kilole Mkoani TANGA Msiba upo nyumbani kwa marehemu Chang’ombe Maduka Mawili Dar es saalam.
Habari ziwafikie Ndugu, Jamaa na marafiki wa karibu na familia hii

About the author

mzalendoeditor