Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

WAZIRI MABULA AHIMIZA MATUMIZI YA KLINIK ZA ARDHI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Ludewa wakati wa ziara yake katika mkoa wa Njombe tarehe 11 Agosti 2023. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva na kushoto ni mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Ludewa Stanley Kolimba.

 Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe Victoria Mwanziva akizungumza katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya Waziri wa Ardhi Dkt Angeline Mabula (kushoto) tarehe 11 Agosti 2023. Kulia ni Katibu Tawala wilaya ya Ludewa Gilbert Sandagila na wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa Sunday Deogratias.

Sehemu ya wananchi wa Ludewa mkoani Njombe wakiwa katika mkutano wa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula uliofanyika wilayani humo

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimpongeza mmoja wa wananchi wa Ludewa aliowakabidhi hati katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara yake katika wilaya hiyo tarehe 11 Agosti 2023. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akipokea zawadi ya mbuzi aliyopewa na wananchi wa Ludewa kama zawadi baada ya kufanya ziara katika wilaya hiyo tarehe 11 Agosti 2023. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimsalimia mlemavu mara baada ya kumaliza kuzungumza na wananchi wa Ludewa katika mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani humo tarehe 11 Agosti 2023. (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI)

Na Munir Shemweta, WANMM LUDEWA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewaelekeza watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha wanakuwa na kliniki za ardhi kama ilivyoelekezwa na wizara yake ili kutatua changamoto za sekta ya ardhi.

Dkt Mabula ametoa maelekezo hayo tarehe 11 Agosti 2023 wilayani Ludewa mkoa wa Njombe kufuatia kupokea malalamiko mbalimbali kuhusu changamoto za sekta ya ardhi  katika mkutano wa hadhara  akiwa katika ziara yake ya siku tatu mkoani Njombe.

Katika mkutano huo, wananchi walimlalamikia waziri Mabula kuwa, wamekuwa wakipata usumbufu kutoka kwa watendaji wa sekta ya ardhi katika mambo mbalimbali yanayohusiana na sekta ya ardhi jambo linalowafanya kushindwa kupata huduma stahiki ikiwemo hati milki.

‘’Wananchi wengi katika wilaya ya Ludewa hatuna hati milki za ardhi, tukikosa hati miliki maisha yetu yako hatarini maana tunaweza kunyang’anywa viwanja wakati wowote’’ alisema mkazi wa Ludewa Cosmas Sanga

Mkazi mwingine Herman Luoga alisema, mbali na kupimiwa mashamba kwa ajili ya kupatiwa hati za kimila lakini pamoja na kufuatilia mara kwa mara ofisi za ardhi kwenye ofisi za ardhi katika halmashauri ya wilaya ya ludewa wameshindwa kupata majibu hadi sasa.

 ‘’Jambo ambalo ningependa watumishi wa sekta ya ardhi wafanye ni kuwa na klinik za ardhi ambazo wizara yake imeziekeleza kufanyika nchi nzima’’ alisema Waziri wa Ardhi Dkt Mabula

Kwa mujibu wa Dkt Mabula, kupitia klinik za ardhi watumishi wa sekta ya ardhi watatoka ofisini kwenda kwenye kata na kuweka vikao kwa ajili ya kusikiliza hoja, changamoto na kero za sekta ya ardhi kutoka kwa wananchi na wanaposikiliza lazima watoe majibu papo hapo kwa kuwa wao ndiyo wataalamu wa sekta hiyo.

Alisema, katika maeneo hayo wanaweza kukaa siku moja ama mbili kutegemeana na uhitaji wa eneo husika na kuongeza kuwa, kliniki hizo za  ardhi zinatakiwa kuzungukia kata zote za halmashauri ambapo alisisitiza kuwa ya watendaji hao kabla ya kwenda eneo husika lazima watangaze ama kutoa taarifa mapema siku watakayokwenda.

‘’Kwa sababu wakati mwingine changamoto hakuna isipokuwa elimu, mtu haelewi kwa nini amiliki ardhi kwa nyaraka, mtu hajui akitaka kupimiwa aanzie wapi na mwingine amevamiwa katika eneo lake hajui afanye nini’’ alisema Dkt Mabula.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amemaliza ziara yake ya siku tatu mkoani Njombe ambapo alitembelea wilaya za Njombe, Makete pamoja na Ludewa ambapo mbali na kuzungumza na watumishi wa sekta ya ardhi pamoja na wananchi wa wilaya hizo alikabidhi hati milki kwa wananchi waliokamilisha taratibu za kupatiwa hati.

About the author

Alex Sonna