Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKITAKA CHUO CHA NDC KUWEKA MKAKATI KUVUTIA WASHIRIKI WENGINE

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia Viongozi mbalimbali, Wakufunzi pamoja na Wahitimu wakati wa  Mahafali ya Kozi ya 11 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) yaliofanyika katika chuo hicho kilichopo Kunduchi Jijini Dar es salaam leo tarehe 29 Julai 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Meja Jenerali Ibrahim Mhona wakati alipowasili kushiriki Mahafali ya Kozi ya 11 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) yaliofanyika katika chuo hicho kilichopo Kunduchi Jijini Dar es salaam leo tarehe 29 Julai 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa ameongozana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda (Kulia) pamoja na  Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Meja Jenerali Ibrahim Mhona (kushoto) wakati alipowasili kushiriki Mahafali ya Kozi ya 11 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) yaliofanyika katika chuo hicho kilichopo Kunduchi Jijini Dar es salaam leo tarehe 29 Julai 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa  na Viongozi pamoja Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi katika maandamano wakati wa Mahafali ya Kozi ya 11 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) yaliofanyika katika chuo hicho kilichopo Kunduchi Jijini Dar es salaam leo tarehe 29 Julai 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia Viongozi mbalimbali, Wakufunzi pamoja na Wahitimu wakati wa  Mahafali ya Kozi ya 11 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) yaliofanyika katika chuo hicho kilichopo Kunduchi Jijini Dar es salaam leo tarehe 29 Julai 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu mara baada ya kumalizika kwa Mahafali ya Kozi ya 11 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) yaliofanyika katika chuo hicho kilichopo Kunduchi Jijini Dar es salaam leo tarehe 29 Julai 2023. (Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha NDC Balozi Moses Kusiluka, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Stergomena Tax, Mkuu wa Chuo cha NDC Meja Jenerali Ibrahim Mhona, Kansela wa Chuo cha NDC Dkt. Abdulhamid Mzee, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraj Mnyepe)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwakabidhi vyeti Wahitimu wakati wa Mahafali ya Kozi ya 11 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) yaliofanyika katika chuo hicho kilichopo Kunduchi Jijini Dar es salaam leo tarehe 29 Julai 2023.

…………………….

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Mkuu wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC) pamoja na  wahusika wengine kuweka mkakati wa kuvutia washiriki wengi zaidi kutoka  mataifa mengine kusoma katika chuo hicho. 

Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati wa Mahafali ya Kozi ya 11 ya Chuo  cha Ulinzi cha Taifa (NDC) yaliofanyika katika viwanja vya chuo hicho kilichopo  Kunduchi Jijini Dar es salaam. Amesema kwa kufanya hivyo kutaongeza wigo  wa mwingiliano, kubadilishana uzoefu na kujifunza ikijumuisha uwezekano wa  kubadilishana wafanyakazi kutoka vyuo vingine vya Ulinzi vya Kitaifa pamoja na  Taasisi katika mafunzo maalum. 

Makamu wa Rais ameongeza kwamba uandikishaji wa idadi kubwa ya washiriki  wa kozi hizo wenye uwezo mkubwa wa uongozi kutoka nchi nyingine utachangia  katika kukuza viongozi rafiki wa Tanzania wa Nchi za nje. Amesema wahitimu  hao wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa wana nafasi kubwa ya kuwa Mabalozi wa  kipekee wa Tanzania katika masuala ya utalii, utamaduni, lugha ya Kiswahili na  rekodi ya nchi ya kudumisha amani na utulivu wa kijamii na kisiasa tangu uhuru  mwaka 1961. Amesema NDC inapaswa kuwa kitovu cha elimu ya usalama na  masomo ya kimkakati ya kikanda. 

Halikadhalika Makamu wa Rais amesema kwa lengo la mwendelezo na  maendeleo ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi upo umuhimu wa kuwatumia wahitimu  wa chuo hicho. Amesema kupitia uzoefu wa kimataifa inaonesha kwamba  wanachuo huongeza thamani kubwa kwa Vyuo wanavyohitimu kwa kutoa  ushuhuda wenye nguvu kwa niaba ya chuo na hivyo kufanya chuo kujulikana  na kuvutia wengine. 

Makamu wa Rais ametoa wito kwa Wahitimu wa Kozi ya 11 ya Chuo cha Taifa  cha Ulinzi na wahitimu waliopita awali, kuchukua jukumu la kuendelea  kukitumikia chuo kwa uaminifu popote watakapokuwa kwa maendeleo bora ya  chuo hicho. Vile vile ametoa rai kwa Chuo cha Taifa cha Ulinzi kufanya utafiti  wa kufuatilia maendeleo ya wahitimu popote pale wanapopangiwa hasa  kuzingatia matokeo yao kulingana na elimu waliyoipata kupitia mafunzo chuoni  hapo. 

Katika hatua nyingine Makamu wa Rais amesema bado idadi ya wanawake  wanaopata mafunzo katika chuo hicho ni ndogo hivyo amemuagiza Katibu Mkuu  Kiongozi kupitia kwa Makatibu Wakuu wa Wizara kuwahamasisha wanawake  kujiunga na kozi mbalimbali zinazotolewa chuoni hapo. 

Kwa upande wake Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Meja Jenerali  Ibrahim Mhona amesema Chuo hicho kinawaandaa wahitimu namna mpya ya  kufikiri na kukabiliana na changamoto za kiusalama zaidi kwa kutumia akili 

kuliko silaha. Amesema changamoto za kiusalama na matishio mbalimbali  katika nchi, bara la Afrika na duniani kwa ujumla yanatihaji kufikiri kwa kina na  kuwa na maamuzi sahihi kwa kutoa suluhu zitazodumu kwa muda mrefu.  

Meja Jenerali Mhina ameongeza kwamba mafunzo hayo yanatoa fursa kwa  washiriki kukutana na viongozi wa juu kutoka serikalni, sekta binafsi na  wataalamu mbalimbali ili kuelewa masuala ya kisiasa, kijamii na mikakati katika  nchi husika. Amesema NDC inahakikisha wahithimu wanafikiri vizuri na kufikiri  nje ya mipaka ili kupata suluhu za muda mrefu katika matatizo yanayojitokeza  na yale yasiotarajiwa kwa wakati huo. 

Katika mahafali hayo washiriki saba (7) wamefanikiwa kufuzu Stashahada ya  Usalama na Stratejia huku jumla ya washiriki thelathini na tatu (33) wakifanikiwa kufuzu Shahada ya Uzamili ya Usalama na Stratejia. 

About the author

Alex Sonna