Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

WADAU NA WANANCHI HALMASHAURI YA MBINGA WATAKIWA KUSHIRIKI KATIKA UTEKELEZAJI MPANGO WA ARDHI

Written by Alex Sonna

Katibu Tawala wa halmashauri ya wilaya ya Mbinga, Pendo Ndumbaro,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa wadau kujadili rasimu ya Mpango wa matumizi ya ardhi uliondaliwa na mradi wa uboreshaji usalama wa milki za ardhi (LTIP) kwa niaba ya mkuu wa wilaya hiyo.

Meneja Urasimishaji ardhi ya vijiji kupitia mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) Bw. Joseph Osena,akitoa taarifa ya mradi wakati wa  Mkutano wa wadau kujadili rasimu ya Mpango wa matumizi ya ardhi uliondaliwa na mradi wa uboreshaji usalama wa milki za ardhi (LTIP) uliofanyika wilayani Mbinga.

Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mhe. Benaya Kapinga,akizungumza wakati wa  Mkutano wa wadau kujadili rasimu ya Mpango wa matumizi ya ardhi uliondaliwa na mradi wa uboreshaji usalama wa milki za ardhi (LTIP) uliofanyika wilayani Mbinga.

Na.Alex Sonna-Mbinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiwezesha Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuupeleka mradi wa Uboreshaji wa Milki salama za Ardhi kwa maeneo ya Vijijini katika Halmashauri saba hapa nchini ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ni miongoni mwake.

Hayo yamesemwa na Katibu Tawala wa halmashauri ya wilaya ya Mbinga, Pendo Ndumbaro, wakati akifungua Mkutano wa wadau kujadili rasimu ya Mpango wa matumizi ya ardhi uliondaliwa na mradi wa uboreshaji usalama wa milki za ardhi (LTIP) kwa niaba ya mkuu wa wilaya hiyo.

Amesema kuwa mradi huo una lengo la kumaliza migogoro ya matumizi ya ardhi na migogoro ya mipaka ya vijiji na kutumika kama dira ya matumizi sahihi ya kila kipande cha ardhi ndani ya Halmashauri huku ukitoa njia sahihi za kusimamia utunzaji wa maeneo ya hifadhi za vilele vya milima, misitu na vyanzo vya maji.

“Nipende kuchukua fursa hii kutoa shukrani za dhati kwa halmashauri ya wilaya ya Mbinga kwa jitihada ilizozifanya katika kufanikisha rasimu ya mpango huu wa matumizi ya ardhi.

“Mmeshirikiana vyema na watalaam kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, mmetoa rasilimali watu na vitendea kazi kama magari na ofisi hata kama mnavyo vichache lakini hamkusita kutoa ili kufanikisha jambo hili”amesema

Aidha, ametoa wito kwa jamii kuendelea kushirikiana na wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi na halmashauri ya wilaya ya Mbinga katika utekelezaji wa hatua zingine zinazofuata kwenye utekelezaji wa mradi wa uboreshaji wa milki salama za ardhi.

Amesema kuwa  hatua hizi ni pamoja na kuandaa mipango ya matumizi bora ya ardhi kwa vijiji, upimaji wa vipande vya ardhi na kutoa hatimiliki za kimila.

“Napenda kushauri kuwa Mpango huu utumike kumaliza migogoro ya matumizi ya ardhi na migogoro ya mipaka ya vijiji, Mpango huu ukawe dira ya Matumizi sahihi ya kila kipande cha ardhi ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Mbinga”amesema Bi.Pendo

Hata hivyo amesema kuwa Mpango huo uanishe na kutoa njia sahihi za kusimamia utunzaji wa maeneo ya hifadhi za vilele vya milima, misitu na vyanzo vya maji pia kuweka maeneo ya kimkakati ya uwekezaji kutokana na rasilimali zilizopo ndani ya halmashauri ya wilaya ya Mbinga.

Amesema kuwa  moja ya vipengele muhimu wakati wa utekelezaji wa mradi huo ni kuandaa Mpango wa matumizi ya ardhi ya halmashauri ya wilaya ambao umekwisha andaliwa rasimu na sasa ni zamu ya wadau muhimu wa maendeleo kupitia mpango huo na kutoa maoni yao.

“Pamoja na lengo hilo kuu, uandaaji wa Mpango wa matumizi ya ardhi ya halmashauri ya wilaya una malengo yenye tija kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa taifa letu kama vile kufungua fursa za uwekezaji, kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi na migogoro ya mipaka, kuhifadhi mazingira na mwisho kuboresha usalama wa milki za ardhi”amesema

Hata hivyo, amesema Mpango huo ni wa miaka 20 kuanzia mwaka huu 2023 hadi 2043 ukiwa na lengo kuu la kusimamia matumizi ya ardhi na kuimarisha ukuaji wa uchumi wa watu wanaoishi katika halmashauri ya wilaya kwa kuwa na matumizi endelevu ya rasilimali ardhi na kuzingatia uhifadhi wa mazingira.

About the author

Alex Sonna