Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIKA NA KIMBIGA FREDDY, BLANTYRE NCHIN MALAWI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni view point pamoja na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7 Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni view point pamoja na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakiangalia Video inayoonesha  kuhusu maeneo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7 Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni view point pamoja na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakisikiliza maelezo kuhusu maeneo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7 Julai, 2023.

About the author

mzalendoeditor