slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

jojobet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

sekabet

imajbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

marsbahis

pusulabet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

meritking giriş

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

celtabet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

meritbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

meritking

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

tipobet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betingo, betingo giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

timebet

Piabet

tipobet

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

kralbet

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

vdcasino

sekabet

grandpashabet

matbet

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

betpark

betpark giriş

betpark mobil giriş

Featured Kitaifa

MBUNGE LUCY MAYENGA ATOA MSAADA WA MAJIKO YA GESI KWA MAMA LISHE MANISPAA YA SHINYANGA

Written by Alex Sonna
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (wa tatu kulia) akikabidhi jiko la gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga.

 

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga ameendelea kuwafikia Wajasiriamali Mkoani Shinyanga ambapo leo ilikuwa zamu ya Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga kupatiwa msaada wa Majiko ya Gesi 165 yenye thamani ya Shilingi Milioni 8.2 kwa ajili ya kuwarahisishia kazi katika shughuli zao na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa utunzaji mazingira kwa kutumia nishati mbadala.
 
 
Akizungumza wakati wa kukabidhi majiko 165 yakiwa yamejazwa gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga leo Ijumaa Julai 7,2023 katika ukumbi wa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Mhe. Mayenga amesema lengo lake ni kuwafikia akina mama wajasiriamali 800 katika wilaya zote za mkoa wa Shinyanga.
 
 
“Tayari nimetoa majiko 250 kwa Mama Lishe Wilayani Kahama yenye thamani ya shilingi Milioni 12.5 , na Majiko ya Gesi kwa Mama Lishe 165 Shinyanga Mjini yenye thamani ya shilingi Milioni 8.25 na nitaendelea kutoa majiko ya gesi katika wilaya zote za Mkoa wa Shinyanga lengo ni kuwafikia wanawake 800 kwa kuwapatia majiko ya gesi”,amesema Mhe. Mayenga.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akizungumza na Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga
 
“Wajasiriamali hawa, mama lishe hawa nimewatafuta kwenye maeneo yao ya kazi bila kuangalia hawa ni wanachama wa CCM ama la kwani lengo langu ni kuona wanawake wanapata furaha. Hii ni sehemu ya kuonesha upendo kwa Wajasiriamali na Mama Lishe pamoja kuunga mkono juhudi zinazofanywa na wanawake katika shughuli za kiuchumi na utunzaji mazingira kwa kutumia nishati mbadala sambamba kuwapunguzia gharama za kununua mkaa na nishati zingine”,ameongeza Mayenga.
 
 
“Nitaendelea kutoa majiko ya gesi 800 mkoa mzima. Majiko haya tayari yana gesi, nina dhamira ya kutoa kwa wananchi kile ninachokipata. Mambo mengine tunafanya kwa sababu ya utashi wetu binafsi lakini pia mambo anayohamasisha Mhe. Rais Dkt. Samia viongozi tufanye katika kuwaletea maendeleo wananchi. Mhe. Rais Samia anataka wabunge tufanye kazi ya kusaidia wananchi”,amesema Mhe. Mayenga
Sehemu ya majiko ya gesi yaliyotolewa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga kwa wajasiriamali ‘Mama Lishe’ Manispaa ya Shinyanga.
 
Mbunge huyo ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi kuwa wazalendo kwa kuwapenda na kuwasemea mazuri. “Tuwapende viongozi wetu, tuwataje kwa wema, tuwaseme vizuri”.
 
 
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Shinyanga, Grace Bizulu amempongeza Mbunge Mhe. Lucy Mayenga kwa moyo wa upendo na wa pekee katika kusaidia wananchi.
 
 
“Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatie. Kwa kweli Lucy Mayenga ana moyo wa pekee, ana moyo wa kutoa. Wabunge wote Shinyanga wangekuwa kama Lucy Mayenga tungefika mbali”,amesema Bizulu.
 
Katika hatua nyingine amewataka akina mama kuacha viburi kwa waume zao na kuhakikisha wanafuata maadili mema na kutunza familia ili kuepuka mmomonyoko wa maadili unaochochea vitendo vya ukatili wa kijinsia.
 Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Shinyanga, Grace Bizulu.
 
“Tumepoteza maadili hatufundishi watoto tuko Busy na majukumu watoto wanaharibika. Naomba tufanye majukumu ya kutafuta pesa na kutunza familia lakini pia Wanawake tusiwe na kiburi, lazima tufuate maadili, tuheshimu waume zetu kisa tuna vipato kuwazidi akina baba. Watoto wetu wanadanga, wamekuwa mashoga kwa sababu ya kukosa maadili”,amesema Bizulu.
 
 
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Shinyanga Mjini, Rehema Nhamanilo amesema Mbunge Lucy Mayenga anapaswa kupongezwa kutokana na mambo makubwa ambayo amekuwa akiyafanya kuwasaidia wananchi.
 
“Mhe. Lucy Mayenga amekuwa akifanya mambo makubwa, anafanya vitu vya ajabu ambavyo hatujavizoea kuviona”,amesema Nhamanilo.
 
Katibu wa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Ally Majeshi amesema kitendo alichofanya Mbunge huyo kuwakumbuka mama lishe kinapaswa kuigwa kwani kimewapa raha akina mama.
 
 
“Haya ndiyo mambo ya wabunge wa CCM kuwapa raha watu waliowachagua badala ya kuwapa mawazo au manung’uniko. Mhe. Lucy Mayenga umefanya jambo zuri, huu ndiyo uimara na umahiri ulionao ndani ya CCM. Mambo mazuri unayofanya yanawafanya wananchi wakipende Chama Cha Mapinduzi. Tunataka CCM ilelewe na wenye kujituma na kujitoa”,amesema Majeshi.
 
 
Nao Mama Lishe hao waliopata majiko ya gesi wamemshukuru Mbunge huyo kwa kuwapatia majiko hayo ya gesi ambayo yatasaidia katika kazi zao lakini pia kutunza mazingira huku pia wakimshukuru kwa kuleta Madaktari Bingwa wa Macho ambapo wananchi wa Mkoa wa Shinyanga walipata huduma bure.
 
ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akipokelewa kwa shangwe na akina mama wajasiriamali ‘Mama Lishe’ Manispaa ya Shinyanga alipowasili katika ukumbi wa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini kwa ajili ya kutoa msaada majiko ya gesi 165 kwa Mama Lishe hao. Picha na Kadama Malunde- Malunde 1 blog
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akipokelewa kwa shangwe kwa kubebwa na akina mama wajasiriamali ‘Mama Lishe’ Manispaa ya Shinyanga alipowasili katika ukumbi wa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini kwa ajili ya kutoa msaada majiko ya gesi 165 kwa Mama Lishe hao. 
Mama Lishe wakipiga picha (Selfie) na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga 

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akizungumza na wajasiriamali ‘Mama Lishe’ Manispaa ya Shinyanga ambapo amewapatia majiko ya gesi 165 

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akizungumza na wajasiriamali ‘Mama Lishe’ Manispaa ya Shinyanga ambapo amewapatia majiko ya gesi 165 
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akizungumza na wajasiriamali ‘Mama Lishe’ Manispaa ya Shinyanga ambapo amewapatia majiko ya gesi 165 
Sehemu ya majiko ya gesi yaliyotolewa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga kwa wajasiriamali ‘Mama Lishe’ Manispaa ya Shinyanga 
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (wa nne kulia) akikabidhi jiko la gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (wa pili kulia) akikabidhi jiko la gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (wa pili kulia) akikabidhi jiko la gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga (kushoto) akikabidhi jiko la gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga.
Mmoja wa Mama Lishe akitoa neno la shukrani baada ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga kukabidhi majiko ya gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga.
Mmoja wa Mama Lishe akitoa neno la shukrani baada ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga kukabidhi majiko ya gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga.
 Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Shinyanga, Grace Bizulu akizungumza wakati Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akigawa majiko ya gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga.
Katibu wa UWT Mkoa wa Shinyanga, Asha Juma Kitandala akizungumza wakati Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akigawa majiko ya gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga.
Katibu wa UWT Wilaya ya Shinyanga Mjini, Sharifa Hassan Mdee akizungumza wakati Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akigawa majiko ya gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga.
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Shinyanga Mjini, Rehema Nhamanilo akizungumza wakati Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akigawa majiko ya gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga.
Katibu wa CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Ally Majeshi akizungumza wakati Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga akigawa majiko ya gesi kwa Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga.
Sehemu ya Mama Lishe/Wajasiriamali wakiwa kwenye mkutano na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Sehemu ya Mama Lishe/Wajasiriamali wakiwa kwenye mkutano na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Sehemu ya Mama Lishe/Wajasiriamali wakiwa kwenye mkutano na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Sehemu ya Mama Lishe/Wajasiriamali wakiwa kwenye mkutano na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Sehemu ya Mama Lishe/Wajasiriamali wakiwa kwenye mkutano na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Sehemu ya Mama Lishe/Wajasiriamali wakiwa kwenye mkutano na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Sehemu ya viongozi wa UWT wakiwa kwenye mkutano na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Sehemu ya viongozi wa UWT wakiwa kwenye mkutano na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Picha ya kumbukumbu Wajasiriamali na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Picha ya kumbukumbu Wajasiriamali na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Picha ya kumbukumbu Wajasiriamali na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Picha ya kumbukumbu Wajasiriamali na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga
Picha za kumbukumbu na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga.
 
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

About the author

Alex Sonna