Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

DIASPORA WAOMBWA KUCHANGAMKIA FURSA MBALIMBALI ZA UWEKEZAJI ZA NSSF, ZIKIWEMO ZA NYUMBA NA VIWANJA

Written by Alex Sonna
Na MWANDISHI WETU
Mkurugenzi wa Masuala ya Diaspora wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi James Bwana, amewaomba Watanzania wanaoishi nje ya nchi  (Diaspora) kuona fursa ya kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika miradi ya uwekezaji inayotekelezwa na Mfuko kwenye maeneo mbalimbali nchini.

“Naomba Diaspora wote kuchangamkia miradi mbalimbali ya NSSF ikiwemo ya nyumba zilizopo Toangoma, Kijichi na Dungu jijini Dar es Salaam, pamoja na viwanja vilivyopo kwenye maeneo mbalimbali ambavyo vinauzwa kwa gharama nafuu,” amesema Balozi Bwana.
Amesema hayo tarehe 2 Julai, 2023 wakati alipotembelea banda la NSSF, ambapo ameweza kujionea namna wafanyakazi wa NSSF wanavyowahudumia kwa weledi wanachama na wananchi wanaotembelea banda hilo.
Balozi Bwana ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa Diaspora wote kuitikia wito huo kwa kunufaika na fursa za uwekezaji kwa kununua nyumba na viwanja vya NSSF ambavyo ni vya uhakika.
Balozi Bwana amesema Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ni mdau muhimu wa NSSF, na kwamba wanashirikiana katika masuala mbalimbali ili kuhakikisha huduma zinazotolewa na NSSF zinawafikia Watanzania wote wakiwemo wanaoishi nje ya nchi ‘Diaspora’.
“Natumia fursa hii kuwapongeza NSSF wamekuwa na jukumu hili kwa muda mrefu wamekuwa na mifumo mbalimbali ya kutoa huduma za Hifadhi ya Jamii kwa Diaspora, lakini hivi sasa wanakamilisha mifumo mipya ambayo itaongeza ushiriki zaidi kwa Watanzania waliopo nje ya nchi,” amesema Balozi Bwana.
Amesema pia Mfuko umekuwa ukiendesha miradi mbalimbali ya uwekezaji, na kwamba tayari wana ushirikiano wa karibu na NSSF ambapo hivi karibuni wana miradi mikubwa ya uwekezaji na uendelezaji inayofanyika nchini Kenya ili kuendeleza vitega uchumi vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini nje ya nchi.
Balozi Bwana amesema uwekezaji wa NSSF hauishii tu katika uwekezaji wa ndani ya nchi, lakini sasa wanavuka mipaka na kwenda katika maeneo mengine nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kwenda kukusanya na kuleta faida zaidi kwa ajili kuwanufaisha wanachama wa NSSF.
“Nitumie fursa hii kumpongeza kwa dhati Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Bwana Masha Mshomba, kwa kazi nzuri ambayo amekuwa akiifanya ya kuhakikisha Mfuko unaendelea kusimama,” amesema Balozi Bwana.
Aidha, ameipongeza Menejimenti na Bodi ya NSSF kwa kazi nzuri na miongozo ambayo wamekuwa wakiitoa katika kuhakikisha malengo makuu ya kuanzishwa kwa Mfuko yanaendelea kusimamiwa na kutekelezwa. Malengo hayo ni kuandikisha wanachama kutoka sekta binafsi na sekta isiyo rasmi, kukusanya michango, kuwekeza na kulipa mafao.

Mkurugenzi wa Masuala ya Diaspora wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi James Bwana akipata maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na NSSF, wakati alipotembelea banda la NSSF katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam. Kulia kwa balozi ni Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF, Lulu Mengele.

Mkurugenzi wa Masuala ya Diaspora wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi James Bwana akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa NSSF, wakati alipotembelea banda la NSSF katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.

About the author

Alex Sonna