Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA MA-DAS

Written by Alex Sonna

 

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza wakati akifungua Mafunzo ya Uongozi kwa Makatibu Tawala wa Wilaya Tanzania Bara yaliyoanza leo Julai 4 hadi Julai 6,2023 katika ukumbi wa Tume ya Uchaguzi jijijni Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa wakati akifungua Mafunzo ya Uongozi kwa Makatibu Tawala wa Wilaya Tanzania Bara yaliyoanza leo Julai 4 hadi Julai 6,2023 katika ukumbi wa Tume ya Uchaguzi jijijni Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene,akizungumza wakati wa Mafunzo ya Uongozi kwa Makatibu Tawala wa Wilaya Tanzania Bara yaliyoanza leo Julai 4 hadi Julai 6,2023 katika ukumbi wa Tume ya Uchaguzi jijijni Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki,akizungumza wakati wa Mafunzo ya Uongozi kwa Makatibu Tawala wa Wilaya Tanzania Bara yaliyoanza leo Julai 4 hadi Julai 6,2023 katika ukumbi wa Tume ya Uchaguzi jijijni Dodoma.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua Mafunzo ya Uongozi kwa Makatibu Tawala wa Wilaya Tanzania Bara yaliyoanza leo Julai 4 hadi Julai 6,2023 katika ukumbi wa Tume ya Uchaguzi jijijni Dodoma.

 Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa,amewataka Makatibu Tawala wa Wilaya(DAS) kuzingatia miiko na maadili ya viongozi wa umma ili kutekeleza majukumu yao kikamilifu.

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo Julai 4,2023 jijini Dodoma wakati  akifungua semina elekezi kwa Makatibu Tawala wa Wilaya (DAS) Tanzania bara yanayofanyika kwa siku tatu  katika ukumbi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma.

Waziri Mkuu amesema ili viongozi hao waweze kutekeleza  majukumu yao ipasavyo wanatakiwa waweke mikakati namba ambavyo wilaya zao ya  zitakavyoweza wilaya kubeba na kusimamia vizuri ajenda za kitaifa.

”Hakikisheni mnadhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma katika maeneo yao na wanapobaini kuwepo kwa ubadhilifu wasisite kuchukua hatua.”amesema Waziri Mkuu

Hata hivyo amekemea migogoro kati yao na Wakuu wa Wilaya,mihemko na mienendo isiyofaa na kutaka wazingatie miiko na maadili ya viongozi wa umma.

“Wewe unataka ya kwako unasahau Mkuu wa Wilaya ndo kiongozi wa shughuli zote za serikali kwenye wilaya, wewe jukumu lako ni kumuwezesha yeye kutekeleza majukumu yake usipozingatia itifaki mtagombana kila siku kwasababu itifaki inakuzuia wewe kugombana na Mkuu wa Wilaya,”amesisitiza

Aidha Waziri Mkuu amewahimiza viongozi hao  kusimamia tabia ya watumishi wa umma na kutunza siri za serikali.

“Tumeanza kuona nyaraka za siri za serikali zinakwenda mtandaoni huu nyie ndio mnapaswa kusimamia udhaifu huu,”amesema

Awali Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwaongezea weledi viongozi hao ili kuimarisha utawala bora.

”Mafunzo hayo yamehudhuriwa na Makatibu hao 135 na yalenga kuimarisha usimamizi wa utendaji kazi wao.”amesema Mhe.Simbachawene

Naye, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki, amewataka viongozi hao kutimiza majukumu yao ipasavyo na wahakikishe wanasimamia utekelezaji wa maagizo ya viongozi katika maeneo yao ya kazi.

Mafunzo hayo ya siku tatu yameandaliwa na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kushirikiana na Taasisi ya Ungozi yamehusisha Makatibu Tawala wa Wilaya 135 za Tanzania Bara.

About the author

Alex Sonna