Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA HAPA NCHINI IKULU CHAMWINO

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa Nchini Mhe. Manfredo Fantl, wakati Balozi Fantl alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa Nchini Mhe. Manfredo Fantl, wakati Balozi Fantl alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa Nchini Mhe. Manfredo Fantl, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

About the author

mzalendoeditor