Featured Michezo

MERIDIANBET INAKUPA BONASI YA 200% UKIJISAJILI NA KUONGEZA SALIO

Written by mzalendoeditor

Kila wakati Meridianbet wanafanya kila kitu kizuri kwaajili ya wateja wake, ukiachana na odds kubwa, ofa na promosheni lakini kuna bonasi za aina nyingi kwenye ubashiri wa soka, na michezo ya kasino ya mtandaoni.

Promosheni kubwa kwa mteja mpya ni kwamba, utapatiwa bonasi ya 200% ya pesa utakayoweka kwa mara ya kwanza kwenye akaunti yako baada ya kujisajili.

Bonasi hiyo itakayowekwa kwenye akaunti yako ya meridianbet, utaitumia kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni utakayoipendelea kama vile Aviator, Poker, Roulette na kadhalika.

Wachezaji hawahitaji kutumia fedha zote zilizowekwa ili wapate bonasi. Kiwango cha chini ambacho lazima kiwekwe ni 10,000 TZS na kiwango cha juu ni 250,000 TZS 

Baada ya kupata bonasi, jumla ya kiasi cha bonasi hiyo itachanganywa na jumla ya pesa iliyowekwa katika promosheni hii na itaitwa ‘Locked Assets’ 

Locked Assets hizo kutoka kwenye promosheni hii ya ‘Bonasi ya 200%’ lazima zitumiwe zaidi ya mara 100 (ikiwa umeweka 10,000 TZS, na umepata bonus ya 20,000 TZS, jumla utakuwa 30,000/= hivyo mteja anahitaji kucheza jumla ya 3,000,000 TZS katika mchezo wa Kasino ya mtandaoni) kwenye kipengele cha michezo ya sloti ili pesa hiyo iweze kubadilishwa kuwa pesa taslimu   kwenye akaunti ya mchezaji. 

Baada ya locked Assets kutumiwa katika idadi inayohitajika, jumla ya ushindi ambao utapatikana wakati huo utahamishiwa mara moja kwenye akaunti yako kama pesa tasilimu, ambayo utaweza kutumia kucheza michezo mingine yeyote au unaweza kuitoa. 

Dau la juu kwenye mzunguko moja wa kasino ya mtandaoni wakati wa promosheni hii ni TZS 10,000. 

Kiwango cha juu utakachoweza kuamishwa kuwa pesa taslimu kutoka kwenye promosheni hii ni TZS 750,000 

NB: Ikiwa mchezaji atasitisha promosheni hii kabla ya kutimiza masharti yaliyowekwa, atapoteza thamani nzima ya bonasi, mapato yote ya mwisho, pamoja na pesa zilizotumiwa kabla ya kusitisha promosheni hii. ‘Pesa binafsi’ (pesa zilizotumiwa katika promosheni hii) zinatumika kila wakati kabla ya kuanza kutumia pesa ya bonasi.

About the author

mzalendoeditor