Meridianbet kupitia kasino ya mtandaoni waliahidi kutoa TV inch 55 ambayo ni TV ya kisasa Zaidi “Smart TV”, kwa mteja mmoja atakayeshinda shindano la kucheza mchezo wa 3 Dancing Monkey.
Ahadi hiyo imetimizwa pale tu mwisho wa shindano hilo ulipofika, ambapo ilikuwa ni 31 Mei 2023 na mshindi alitanganzwa Juni 1, 2023.
Mshindi huyo anajulikana kwa jina la Rogers kutoka Dodoma alifika makao makuu ya Meridianbet Tanzania kuchukua zawdi yake ya TV inch 55, mara baada ya kukabidhiwa alitoa neno kwa familia ya mabingwa wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni Meridianbet haswa wachezaji wa sloti na kasino ya mtandaoni.
“Nimekua nikicheza sana kasino ya mtandaoni na kufanikiwa kupiga mpunga mkubwa tu, meridianbet ni sehemu ya maisha yangu kwakuwa kupitia kasino ya mtandaoni nimejikuta nafanya mambo mengi ya maana”
“Leo nimeshinda Smart TV nina hakika familia yangu itafurahia kazi yangu hii, na sasa nitaweza kucheza kasino ya mtandaoni kupitia TV hii kwakuwa ina huo uwezo, nawashukuru sana Meridianbet natoa wito kwa watu wengine kuichagua Meridianbet na kucheza Zaidi michezo ya kasino ya mtandaoni ni rahisi huenda na wao wakawa washindi kama mimi” –Rogers
Mchezo huu wa 3 Dancing Monkey unapatikana kwenye kasino ya mtandaoni kwa kubonyeza hapa, ambapo utaenda kucheza moja kwa moja ni rahisi kucheza na kushinda dau lake la kucheza ni Tsh 750 tu huku ukikupa mizunguko ya bure kila unapocheza.
NB: Je wewe ni mwanafamilia wa meridianbet kama bado jiunge Meridianbet upate mizunguko kibao ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile poker, aviator na roulette, hii sio ya kukosa jiunge hapa bure.