Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

GGML YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUTOA ELIMU KUHUSU TAKA ZA PLASTIKI

Written by Alex Sonna

Afisa Uhusiano wa GGML, Dafroza Manyanda (kushoto) akikabidhi vifaa vya usafi kwa Mwenyekiti wa mtaa wa Uwanja uliopo katika Halmashauri ya Geita, Enos Cherehani.

Afisa Mawasiliano Mwandamizi kutoka GGML, Laurian Pima akizungumza na wakazi wa mtaa wa Uwanja katika Halmashauri ya Geita na kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa kutenganisha taka za plastiki ili kulinda mazingira ikiwa ni muendelezo wa jitihada za kampuni hiyo katika kuhifadhi mazingira.

NA MWANDISHI WETU

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML), moja ya migodi maarufu ya AngloGold Ashanti nchini Tanzania, imeadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kutoa elimu kuhusu aina mbalimbali za taka za plastiki na ugawaji wa vifaa vya kuhifadhi taka kwa lengo la kuwawezesha wananchi kutenganisha ipasavyo taka za plastiki.

Siku ya Mazingira Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Juni, ni tukio muhimu la kimataifa lililoandaliwa na Mpango wa Mazingira wa Umoja wa Mataifa, na mwaka huu kauli mbiu ni “Tokomeza uchafuzi wa mazingira unaotokana na taka za plastiki”.

Kauli mbiu hiyo inalenga kusisitiza kwamba taka za plastiki ni tatizo la kimataifa ambalo linatishia mazingira, wanyamapori na afya ya binadamu.

Akizungumza katika tukio hilo lililofanyika katika mji wa Geita kwa kuwashirikisha wafanyakazi wa GGML na mamlaka za mitaa, Meneja Mazingira wa Mgodi huo Yusuph Mhando alisema GGML inafahamu kuwa uchimbaji madini una athari ya moja kwa moja kwa mazingira kwani rasilimali za ardhi na maji zinahitaji kuendelezwa.

Alisema kampuni hiyo imejidhatiti katika utunzaji wa mazingira na imechukua hatua mbalimbali ili kupunguza mwelekeo wake wa mazingira na kuongeza mchango wake chanya kwa jamii zinazozunguka Geita.

“Moja ya hatua hizo ni usimamizi wa taka za plastiki kutoka vyanzo mbalimbali kama vile vifungashio, vifaa vya kujikinga, chupa za maji na vyombo vya chakula. Kampuni pia inatoa mafunzo kwa wafanyakazi na wakandarasi wote kutenganisha na kutupa aina tofauti za taka kwa kutumia mapipa yenye alama za rangi na lebo. Wafanyakazi wote na wakandarasi hupokea mafunzo ya mazingira ili kuhakikisha uzingatiaji wa sera na taratibu za usimamizi wa taka.

Alisema GGML inafanya kazi kwa pamoja ili kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa kupunguza, kutumia tena na kuchakata plastiki.

“Tunajivunia kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani na kushirikisha jamii zinazozunguka mgodi katika kuendeleza desturi nyetu ya kulinda na kuhifadhi mazingira yetu, tunaamini kwa kuwaelimisha na kuwawezesha wananchi kutenganisha ipasavyo taka za plastiki tunaweza kuleta mabadiliko chanya katika vita dhidi ya uchafuzi wa plastiki.

“Pia tunahimiza kila mtu kuzingatia kanuni ya 3Rs: Punguza, Tumia Tena na Usafishaji plastiki kila inapowezekana,” alisema.

GGML inachukua jukumu lake la kupunguza athari zake za mazingira kwa umakini na imejitolea kuwajibika kwa usimamizi wa mazingira.

Aliongeza kuwa mgodi huo umekuwa ukifanya kazi nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 20 na ni miongoni mwa walipakodi wakubwa na wanaokidhi viwango vinavyozingatia sheria nchini. GGML inaajiri zaidi ya watu 5,000 moja kwa moja na kupitia wakandarasi na takriban asilimia 98 kati yao ni raia wa Tanzania.

About the author

Alex Sonna