Featured Kitaifa

MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

About the author

mzalendoeditor