Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI LEO DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mwibara, Charles Kajege,  bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2023.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari , Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye bungeni jijini Dodoma, Mei 19l 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kyerwa, Innocent Bilakwate, bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Morogoro Kusini, Hamisi Taletale, bungeni jijini Dodoma, Mei 19, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye  akiwasilisha bajeti ya Wizara hiyo ya 2023/24, bungeni jijini Dodoma, Mei 29, 2023. (Picha na Ofisi. ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor