Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA WAKAWAKE ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya TCB.Bw.Edmund Mndolwa na Mkurugenzi Mtendaji wa (TCB) Bw, Sabasaba Moshingi na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Bw.Rashid Simai Msaraka,alipowasiliu katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Wanawake lililoandaliwa na Benki ya Biashara Tanzania (TCB) katika ukumbi wa hoteli hiyo leo 5-2-2022

RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akitembelea maonesho ya Wajasiriamali Wanawake wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Wanawake Zanzibar lililoandaliwa na Benki ya Biashara Tanzania.(TCB) katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Jijini Zanzibar leo 5-3-2022 (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii  Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kulia kwa Rais ) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya TCB.Bw.Edmund Mndolwa, wakimsikiliza Mjasiriamali Bi. Tatu Suleiman.

RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,akimsikiliza Mkufunzi Kikundi cha Watu Wenye Ulemavu Zanzibar Bi. Njuma Ali,wakati akitembelea maonesho ya Wajasiriamali Wanawake wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Wanawake Zanzibar lililoandaliwa na Benki ya Biashara Tanzania.(TCB) katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Jijini Zanzibar leo 5-3-2022 (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais ) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya TCB.Bw.Edmund Mndolwa.

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB )Bw.Edmund Mndolwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wanawake Wajasiriamali Zanzibar lililoandaliwa na Benki ya Biashara Tanzania (TCB) KATIKA ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Jijini Zanzibar, kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmin RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuli\fungua Kongamano hilo leo 5-3-2022

WAKURUGENZI wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB) wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano wa Wajasiriamali Wanawake Zanzibar lililoandaliwa na (TCB) katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Jijini Zanzibar leo 5-3-2022 na kuwashirikia Wajasiriamali Wanawake wa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akifungua mlango kuashiria kulifungua Kongamano la Wanawake Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Biashara Tanzania Bw. Edmund Mndolwa (kushoto) kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Jijini Zanzibar lililoandaliwa na (TCB)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Zanzibar  lililoandaliwa na Benki ya Biashara  Tanzania (TCB)  lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Jijini Zanzibar leo 5-3-2022, lililowashirikia Wanawake Wajasiriamali wa Vikundi mbalimbali vya Zanzibar.

WASHIRIKI wa Kongamano la Wanawake Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Kijiji Zanzibar, lililoandaliwa na Benki ya Biashara Tanzania(TCB)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya picha ya kuchora na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB) Bw. Edmund Mndolwa, baada ya ufunguzi wa Kongamano la Wanawake Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Jijini Zanzibar leo 5-3-2022, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afrya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe Nassor Ahmed Mazrui . Mkurugenzi Mtendaji wa (TCB) Bw. Sabasaba Moshingi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said.

MKE wa Rais  wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na (kulia kwake) akikabidhiwa hundi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB) Bw. Sabasaba Moshingi,wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wanawake Zanzibar lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia kwa Mama) na (kushoto kwa Mama) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TCB Bw. Edmund Mndolwa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein  Ali Mwinyi akimkabidhi hundi Kiongozi wa Kikundi cha Wajasiriamali cha Chaza Mpya wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wanawake Zanzibar, lililoandaliwa na Benki ya Biashara Tanzania (TCB) lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Jijini Zanzibar leo 5-3-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi ya Akaunti yake ya Benki ya Biashara Tanzania (TCB) baada ya kulifungua Kongamano wa Wanawake Zanzibar  lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor