Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

WASIMAMIZI WA DAWA ZA TIBA ZENYE ASILI YA KULEVYA WAPATIWA MAFUNZO NA TMDA DODOMA

Written by Alex Sonna

Kaimu Meneja,TMDA Kanda ya Kati,Bw. Benedict Brashi,akizungumza na waandishi wa habari  wakati wa mafunzo ya siku moja ya wasimamizi wa dawa za tiba zenye asili ya kulevya katika hospitali na vituo vya afya vinavyotumia dawa hizo mkoani Dodoma.

Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Nelson Bukuru,akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku moja ya wasimamizi wa dawa za tiba zenye asili ya kulevya katika hospitali na vituo vya afya vinavyotumia dawa hizo mkoani Dodoma yaliyoandaliwa na Mamlaka  ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) leo Mei 10,2023 jijini Dodoma.

Meneja  TMDA Kanda ya Kati Bi.Sonia Mkumbwa,akielezea lengo wakati wa mafunzo ya siku moja ya wasimamizi wa dawa za tiba zenye asili ya kulevya katika hospitali na vituo vya afya vinavyotumia dawa hizo mkoani Dodoma yaliyoandaliwa na Mamlaka  ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) leo Mei 10,2023 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba mbalimbali wakati  wa mafunzo ya siku moja ya wasimamizi wa dawa za tiba zenye asili ya kulevya katika hospitali na vituo vya afya vinavyotumia dawa hizo mkoani Dodoma yaliyoandaliwa na Mamlaka  ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) leo Mei 10,2023 jijini Dodoma.

Mfamasia kutoka Hospitali ya  Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)  Flora Makenya,akipongeza TMDA kuandaa  mafunzo ya siku moja ya wasimamizi wa dawa za tiba zenye asili ya kulevya katika hospitali na vituo vya afya vinavyotumia dawa hizo mkoani Dodoma.

Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Nelson Bukuru,akiwa katika picha ya pamoja na washiriki mara baada ya kufungua mafunzo ya siku moja ya wasimamizi wa dawa za tiba zenye asili ya kulevya katika hospitali na vituo vya afya vinavyotumia dawa hizo mkoani Dodoma yaliyoandaliwa na Mamlaka  ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) leo Mei 10,2023 jijini Dodoma.

Alex Sonna-DODOMA

MAMLAKA  ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imewataka wasimamizi wa dawa za tiba zenye asili ya kulevya kuhakikisha wanatoa   dawa kwa usahihi  katika hospitali na vituo vya afya.

Hayo yameelezwa leo Mei 10,2023 Jijini Dodoma  na Kaimu Meneja,TMDA Kanda ya Kati,Bw. Benedict Brashi wakati wa mafunzo ya siku moja ya wasimamizi wa dawa za tiba zenye asili ya kulevya katika hospitali na vituo vya afya vinavyotumia dawa hizo mkoani Dodoma.

Bw. Brashi  amesema TMDA  wana jukumu la kudhibiti ubora, usalama, na ufanisi wa bidhaa za dawa, vifaa tiba, vitendanishi pamoja na bidhaa za tumbaku.

Amesema udhibiti unaaanza na  mahali ambako  bidhaa zinatengenezwa mpaka maeneo ambayo zinauzwa.

“Tunafanya mafunzo wataalamu walio  katika vituo vinavyotumia na kutunza dawa za tiba zenye asili ya kulevya kwa kuwa kama Nchi tuna miongozo ya udhibiti wa dawa hizi na sisi kama TMDA ndio wasimamizi wa miongozo hiyo.”

Amesema katika mafunzo hayo watapitishana katika muongozo wa TMDA ambao lengo lake la msingi ni kuhakikisha dawa hazitumiki ndivyo sivyo katika Hospitali na kwenye vituo vya afya.

“Kwa umuhimu huo tutahakikisha matumizi yake yanakuwa sahihi na kwa watu sahihi ili kuepusha athari zinazoweza kusababishwa na matumizi holela ya dawa hizo ikiwemo mwili kujenga utegemezi.” amesema

Awali akifungua mafunzo hayo Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Nelson Bukuru, ameipongeza TMDA kwa kuandaa mafunzo haya ambayo ni muhimu kwa watumishi wa afya katika kusimamia na kudhibiti dawa za tiba zenye asili ya kulevya.

”Kushiriki kwenu kwenye mafunzo hayo kutawaongezea uelewa katika utoaji wa huduma ya dawa za tiba zenye asili ya kulevya hivyo elimu mtakayoipata itasaidia katika matumizi
sahihi ya dawa hizo.” amesema Dkt.Bukuru

Hata hivyo amewataka washiriki wa mafunzo hayo kuhakikisha wanayaishi katika utendaji kazi wao ili kuwezesha matumizi sahihi ya dawa hizi.

Kwa upande wake Mfamasia kutoka Hospitali ya  Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)  Flora Makenya amesema  wamefurahi kushiriki mafunzo hayo na  ana matarajio makubwa na elimu aliyoipata na atawafundisha wengine kuhusu matumizi sahihi ya dawa hizo.

About the author

Alex Sonna