Featured Kitaifa

CHONGOLO ATETA NA WATANGAZAJI WASAFI

Written by mzalendoeditor

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kufanya mazungumzo na watangazaji wa kipindi cha Goodmorning kutoka Wasafi Media ambao walimtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma leo Mei 5, 2023.





 

About the author

mzalendoeditor