Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Ripoti ya Sensa ya watu na Makaazi ya mwaka 2022 kutoka kwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (wa tatu kushoto) alipokuwa akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Ripoti ya Sensa ya mwaka 2022 leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe,Sada Mkuya Salum (kulia) alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Sensa ya watu na Makaazi mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wa kukabidhi Taarifa hiyo leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) aliokuwa akizungumza na Ujumbe wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman wa Pili kulia) mara baada ya kupokea Ripoti ya Sensa ya watu na Makaazi ya mwaka 2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu