Slotiya Blackjack Live
Moja kati ya michezo pendwa na wengini Sloti ya Black Jack Live, mchezo huu unapatikana kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ambapo huu unakuwa na karata 8 tu, ili ushinde unapaswa utoe karata zisizozidi namba 21, lakini pia zikiwa chini ya hapo unaweza kushinda endapo karata za mchezeshaji zitazidi namba 21.
Mchezo wa Black jack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana ulimwenguni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakupa burudani na ushindi kupitia sloti ya Black jack Live huku ukiwa na fursa ya faida hadi mara 100 papo hapo ya dau uliloliweka.
Jinsi ya Kucheza Black jack Live
Unachotakiwa kukifanya ni kubashiri karata gani mchezeshaji (dealer) ataiweka mezani na kuifunua. Tofauti ya Black jack Live na Black jack nyingine ni kwamba, hii inabunda lenye karata 8 nasio 52.Vilevile, mchezo huu unachezwa mubashara kabisa kutoka kwenye studio za Riga.
Kuwa makini na mchezeshaji wa Blackjack kwani, ushindi upo hapo! Pamoja na hayo, ubashiri wa karata unalipwa kwa viwango. Sloti ya Blackjack Live inachezwa kwenye meza zaidi ya moja na kila meza inaweza kuwahudumia wachezaji 7. Chaguo la Bet Behind litakupa fursa ya wewe kuweka dau hata kama umechelewa kuanza na mchezeshaji atakuelekeza nini unachotakiwa kukifanya kwenye mchezo huo.
Una sekunde 15 tu za kuweka ubashiri na mchezeshaji ataanza kuchezesha karata. Mchezeshaji atasimama kwenye 17 na Black jack italipa 3 na zikiwa kwenye uwiano wa mara 6:1, 12:1 au 25.
Kujua kama umeshinda ni kwamba namba au herufi za karata zako zikijumlishwa hazitakiwa kuzidi 21 na zikiwa chini ya hapo unaweza kushinda endapo mchezaji karata zake zitazidi 21.
Shinda kistaa kupitia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na mchezo wa Black jack Live.
NB: Jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 bure ya kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, jisajili sasa.