Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA KATIKA FUTARI BUNGENI DODOM

Written by mzalendoeditor

 

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajab Shaaban, Dkt. Baghayo Saqware Kamishna wa Bima (wa kwanza kulia) na Dkt. Edmund Mndolwa Mwenyekiti wa Bodi ya Assemble Insurance katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Assemble Insurance Tanzania iliyofanyika katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma 

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiomba dua pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama, Dkt. Baghayo Saqware Kamishna wa Bima (wa kwanza kulia) na Dkt. Edmund Mndolwa Mwenyekiti wa Bodi ya Assemble Insurance katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Assemble Insurance Tanzania iliyofanyika katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Aprili 17, 2023.

PICHA NA OFISI YA BUNGE.

About the author

mzalendoeditor