Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

TTCL NA HUAWEI WASAINI MKATABA UPANUZI MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WILAYA 23 NCHINI

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye,akishuhudia utiaji saini kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Mhandisi Peter Ulanga,(Kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji HUAWEI ,Bw.Demong Zhang,wakisaini Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati TTCL na HUAWEI hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.Nape Nnauye,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Mhandisi Peter Ulanga,wakati wa hafla ya utiaji Saini wa Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na HUAWEI International Co. Limited hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.Nape Nnauye,akiuliza Swali mara baada ya kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Mhandisi Peter Ulanga,wakati wa hafla ya utiaji Saini wa Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na HUAWEI International Co. Limited hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye,akizungumza wakati wa hafla ya utiaji Saini wa Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na HUAWEI International Co. Limited hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye,akisisitiza jambo  wakati wa hafla ya utiaji Saini wa Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na HUAWEI International Co. Limited hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

KAIMU Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bi.Salome Kessy,akizungumza wakati wa hafla ya utiaji Saini wa Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na HUAWEI International Co. Limited hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Bi.Zuhura Sinare Muro,akielezea mikakati yao katika kuimarisha miradi ya Mkongo wa Taifa wakati wa hafla ya utiaji Saini wa Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na HUAWEI International Co. Limited hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Mhandisi Peter Ulanga,akitoa maelezo wakati wa hafla ya utiaji Saini wa Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na HUAWEI International Co. Limited hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

MKURUGENZI Mtendaji HUAWEI ,Bw.Demong Zhang,akielezea watakavyofanya kazi kwa haraka ili wananchi waweze kupata huduma bora  wakati wa hafla ya utiaji Saini wa Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na HUAWEI International Co. Limited hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,Mhe. Nape Nnauye (hayupo pichani) ,akizungumza wakati wa hafla ya utiaji Saini wa Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na HUAWEI International Co. Limited hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye,akishuhudia utiaji saini kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Mhandisi Peter Ulanga,(Kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji HUAWEI ,Bw.Demong Zhang,wakisaini Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati TTCL na HUAWEI hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Mhandisi Peter Ulanga,(Kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji HUAWEI ,Bw.Demong Zhang,wakionyesha Mkataba mara baada ya kusaini Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati TTCL na HUAWEI hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kushuhudia  utiaji Saini wa Mkataba wa Upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Wilaya 23 uliosainiwa kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na HUAWEI International Co. Limited hafla iliyofanyika leo Aprili 17,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

SERIKALI imesaini mkataba wa upanuzi Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika wilaya 23 nchini, wenye urefu wa kilomita 1,520 utakao gharimu zaidi ya Sh. bilioni 37 na utatekelezwa kwa muda wa miezi sita.

Akizungumza mara baada ya kushuhudia utilianaji saini kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania na Kampuni ya HUAWEI Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,Mhe Nape Nnauye,amesema kukamilika kwa mradi huo kutaleta mageuzi makubwa katika ukuaji wa maendeleo ya Taifa.

Amesema Kukamilika kwa mradi huo kutafungua fursa kwa wananchi za kiuchumi, kwani Kasi ya upatikanaji wa mawasiliano yatachochea maendeleo Katika Wilaya hizo na Taifa kwa ujumla.’

“Mradi huu wa upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano utasaidia kukuza matumizi ya TEHAMA na kuongeza kasi upatikanaji wa Intaneti yenye kasi, mawasailiano yatasaidia wilaya kuongeza kasi ya ukusanyaji mapato kwa kutumia mifumo ya kidijitali”amesema Nape

Aidha amesema Serikali kwa kutambua changamoto za wilaya zetu za kukosa mawasiliano ya uhakika ambayo yamesababisha wananchi katika wilaya hizo kukosa fursa mbalimbali za kijamii na kibiashara.

“Serikali imepanga kutekeleza mradi wa kuimarisha mawasiliano katika ngazi ya wilaya kwa kuunganisha wilaya zote kwenye mkongo wa Taifa wa Mawasiliano ili kuongeza kasi ya upatikanaji wa mawasiliano ambayo yatachochea maendeleo katika wilaya hizo na Taifa kwa ujumla”amesisitza Nape

Ameongeza kuwa “Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria katika kuhakikisha Tanzania inakuwa na miundombinu bora ya mawasiliano yenye kutumia teknolojia ya kisasa ambayo italeta tija na ufanisi katika kuongeza uzalishaji na ujenzi wa uchumi wetu na kuimarisha usalama na ulinzi wa Taifa letu”

Vilevile, amesema mawasiliano hayo yatasaidia serikali  kufikisha utekelezaji wa Tanzania ya kidijitali hadi ngazi ya wilaya.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Bi.Zuhura Sinare Muro, ameishukuru Serikali chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kuwezesha utekelezaji wa upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwenda kwenye ngazi ya Wilaya.

”Leo ni siku muhimu kwa Shirika letu na Taifa kwa ujumla kwa uwekezaji huu ambao unaenda kuimarisha sekta ya mawasiliano Nchini na kuchangia katika kukua kwa sekta nyingine za maendeleo”amesema Bi.Muro

Aidha amesema kuwa Upanuzi huu wa Mkongo wa Taifa unakwenda sambamba na Dira na Malengo ya Shirika katika kuhakikisha inakuwa mtoa huduma bora wa miundombinu ya mawasiliano data na simu Kitaifa na Kimataifa.

Awali  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL),Mhandisi Peter Ulanga, amesema kuwa mkataba huo uliosainiwa unatakiwa kukamilika ndani ya miezi sita tangu kusainiwa kwake.

“Kukamilika kwa mradi huo kutaondoa tatizo lililokuwepo awali la ukosefu wa mawasiliano katika wilaya hizo.”amesema Mhandisi Ulanga

About the author

Alex Sonna