Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS DKT MPANGO AKIMSINDIKIZA MAKAMU WA RAIS WA MAREKEANI

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango wakati akiwaaga wananchi mbalimbali waliojitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam mara baada ya kuhitimisha ziara yake nchini Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango akimuaga Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris na Mumewe Douglas Emhoff katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo tarehe 31 Machi 2023 mara baada ya kuhitimisha ziara nchini Tanzania.

(Picha Ofisi ya Makamu wa Rais)

About the author

mzalendoeditor