Featured Kitaifa

RAIS DKT. MWINYI AFANYA KIKAO KAZI CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 2 YA MFUMO WA SWMA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi cheti cha utendaji bora Mkuu wa Kitengo cha Sema na Rais Ikulu “SNR” Ndg,Haji Khamis Makame (kushoto) wakati wa  Kikao kazi cha  Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,)SNR)kilichofanyika leo kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip,Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali.[Picha  na Ikulu] 29/03/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika ukumbi wa Golden Tulip katika Kikao kazi cha  Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,)SNR)kilichofanyika leo.[Picha na Ikulu] 29/03/2023.


Viongozi wa Taasisi za Serikali wakiwa katika Kikao kazi cha Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 29/03/2023.

Baadhi ya waalikwa katika Kikao kazi cha  Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 29/03/2023.

BAADHI ya Maafisa wa  Mfumo wa Sema na Rais (SNR)kutoka taasisi mbali mbali za Serikali wakiwa katika Kikao kazi cha  Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 29/03/2023.

Washiriki na Waalikwa katika Kikao kazi cha  Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,(SNR)kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake.[Picha na Ikulu] 29/03/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kikao kazi cha  Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,(SNR) kilichowashirikisha maofisa wa taasisi mbali mbali za Kiserikali ambacho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip .[Picha na Ikulu] 29/03/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)alipokuwa akisisitiza jambo wakati akizungumza katika Kikao kazi cha  Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,(SNR)kilichowashirikisha maofisa wa taasisi mbali mbali za Kiserikali ambacho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip .[Picha na Ikulu] 29/03/2023.

About the author

mzalendoeditor