Meridianbet katika harakati zake za kuhakikisha jamii yake inanufaika na kile ambacho wamekua wakikitengeneza wamefika katika kituo cha Polisi Kawej ijini Dar-es-salaam na kutoa vifaa kwa jeshi la polisi kituoni hapo moja ya vifaa hivyo ni Reflector kwa polisi wanaosimamia usalama barabarani Reflector hizo zilipokelewa na Reflector hizo zikipokelewa na mkuu wa kitengo hicho SP-Shatta OCD ndiye aliyepokea vifaa hivyo.
Meridianbet mara nyingi wanapenda kurudisha kwenye jamii kile kidogo ambacho wamekichuma na wakati huu amabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefanikiwa kufika kituo cha Polisi Kawe na kutoa msaada wa Reflector kwa Polisi wa usalama barabarani.
Baada ya kupokea Reflector hizo ASP Rose Maira amesema; “Niwashukuru wenzetu wa Meridianbet kwa kutuletea msaada huu utakaosaidia Askari katika kutimiza majukumu yao bila uoga hata usiku kwa sababu watakua wanaonekana, katika kuelekea kilele cha wiki ya nenda kwa usalama barabarani msaada huu umekuja muda muafaka”.
Mkuu wa kitengo cha Masoko na mawasiliano Meridianbet Martina Nkurlu amesema kuwa “Tulikuja wiki iliyopita hapa kutoa Reflector kwa bodaboda lakini tukaona hata Askari wetu wa usalama barabarani wana changamoto hii, leo tukaamua na wao kuwaletea vifaa hivi tukiamini katika juhudi zao za kulinda usalama barabarani katika Serikali hii ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania”
Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino mitandaoni waliwatembelea jeshi la Polisi Kawe na kuwapa Reflector kwa ajili ya matumizi yao wakiwa barabarani.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbe tuweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE