Featured Kitaifa

IJUE MBINU YA KUPATA KAZI KWA HARAKA MAISHANI

Written by mzalendoeditor
Jina langu ni Moses, kijana wa miaka 28, natokea pande za Meru nchini Kenya, kwa sasa nafanya kazi katika kampuni moja ya mawasiliano ya simu jijini Nairobi. 
Ni kazi ambayo najivunia katika maisha yangu na imeweza kuniletea mafanikio makubwa maishani, naweza kusema imeweza kunitenga na umasikini kwa asilimia 100.
Hata hivyo, kabla ya kuipata kazi hii, siwezi kusahau jinsi nilivyosumbuka huku na kule katika kutafuta kazi. Nilituma maombi ya kazi kwenye ofisi nyingi za umma na binafsi lakini kila mara niliambulia patupu.
Ulifika wakati nikakata tamaa na kujiuliza ni wapi nakosea katika kuomba kwangu, maana kila kigezo cha kupata kazi nilikuwa nacho, kuanzia elimu na sifa nyingine zilizotajwa kwenye tangazo la ajira. 
Kuna mtoto wa Shangazi yangu alikuja nyumbani kututembelea ndipo nikamueleza kuwa nimekuwa nikitafuta kazi kwa kipindi kirefu bila kufanikiwa. Nashukuru yeye ni moja ya watu waelewa ambao wanajua nini maana ya maisha, nini maana ya mtu kukosa kitu maishani. 
Alinitia moyo sana na ndipo akaniambia kuna watu wanaitwa “African Doctors” ambao wamekuwa wakisaidia watu wenye matatizo ya kukosa kazi maisha mwao, akanisihi sana nijaribu kuwasiliana nao kwani shida yangu itaweza kupata ufumbuzi tena ndani ya muda mfupi sana.
Aliniambia rafiki zake wengi ambao walikuwa wakisumbuka kutafuta kazi aliwaelekeza kwa watu hao na kwa asilimia kubwa wengi wamefanikiwa kupata kazi kitu ambacho anajivunia. 
Basi alinipatia namba zao ambazo ni +254719153 099 na kuweza kuwasiliana nao mara moja. Nashukuru kuwa niliweza kuhudumiwa mara moja, walinihakikishia ndani ya kipindi kifupi nitakuwa nimepata kazi ya ndoto zangu maishani.
Baada ya siku mbili wakati nikipata chai ya asubuhi, nilisikia simu yangu ikiita, nilipokea, ndipo nikasikia mtu akijitambulisha kutokea kampuni ya mawasiliano ya simu, aliniambia kuwa nimechaguliwa kufanya kazi kwenye kampuni hiyo, hivyo niripoti kazini.
Nilifika sehemu ya kazi na kuweza kusaini mkataba mzuri wa kazi wenye mshahara mzuri na marupurupu kibao. Huu ni mwaka wangu wa nne nipo kazini naendesha maisha yangu vizuri, nachoweza kuwashauri vijana ambao wanatafuta kazi, wawasiliane mara moja na “Africa Doctors” ili waweze kupata suluhisho maishani mwao.

About the author

mzalendoeditor