Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Kitaifa

WAZIRI GWAJIMA ATAKA WANANCHI KUISHI KIDIJITALI

Written by Alex Sonna

 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna wakati alipowasili Makao makuu ya benki hiyo 

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akifurahia jambo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB Ruth Zaipuna wakati wa kikao na watumishi wa benki hiyo, wakati Waziri Gwajima alipotembelea Makao makuu ya benki hiyo 

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa benki ya NMB Makao makuu alipotembelea benki hiyo .
………………………………
Na WMJJWM, DSM
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima (, amewataka Wananchi hasa wa Makundi maalum kutumia fursa zinazotolewa na benki za ndani ya nchi ili kujikwamua kiuchumi.
Akizungumza wakati alipotembelea benki ya NMB Makao Makuu Jijini Dar es salaam,  24 Januari 2023,  Waziri Gwajima amebaini fursa mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo na  ambazo zimewanufaisha makundi maalumu wakiwemo Wanawake, Wamachinga na Waendesha Bodaboda wanaofikia idadi ya maelfu. 
Waziri Gwajima amesema, amefarijika kuona benki hiyo inafanya jitihada ya kurahisisha huduma za kibenki kwa Makundi Maalumu hasa yanayosimamiwa na Wizara hiyo. 
“Nimekuja kujifunza ni kitu gani nitawaambia  hawa Makundi Maalum hasa ikizingatiwa kwamba, tuko kwenye utekelezaji wa Programu ya Kitaifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kama ilivyoelekezwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara tu alipoingia madarakani” amesema Dkt. Gwajima.
Ameongeza pia, moja ya mambo muhimu katika programu hiyo ni jinsi gani utekelezaji wa uwezeshaji wanawake kiuchumi unavyoendelea kwenye sekta mbalimbali ikiwemo mabenki ambapo NMB ni mojawapo ya benki zenye hisa kubwa Serikalini.
Aidha, Dkt. Gwajima ameipongeza NMB kwa kupiga hatua na kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali ya uwezeshaji wananchi kiuchumi. Aidha, ameahidi kuendelea na ziara yake kwenye benki zote sambamba na kuelimisha na kuhamasisha jamii itambue fursa hizi na kuchukua hatua za kujiendeleza kiuchumi jambo ambalo pia litachangia kwenye kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto utokanao na migogoro ya kiuchumi. 
Waziri Gwajima anaendelea na ziara hiyo katika benki nyingine nchini kwa lengo la kuangalia fursa za uwezeshaji wananchi kiuchumi hususani Makundi maalum na kuhakikisha kwa nafasi yake anazisemea ambapo ameitambulisha ziara hiyo kama Operesheni *”Zijue Fursa, Imarisha Uchumi Kataa Ukatili, Kaziiendelee”.* 
Kwa upande wake Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo Ruth Zaipuna amesema benki hiyo ina fursa nyingi kwa Makundi yote katika Jamii ambazo zikitumiwa kikamilifu, zitawainua wananchi wengi kiuchumi.
“Nia ni kuhakikisha watanzania wengi zaidi wanaingia kwenye mfumo rasmi wa kibenki, fursa ni nyingi kwa bodaboda, machinga na watanzania kwa ujumla wanakaribishwa kuzipata Ili kuweza kuinuka kiuchumi” amesema Ruth.

About the author

Alex Sonna