Featured Kitaifa

MWENYEKIT IWA CCM TAIFA RASI DKT SAMIA SULUHU HASSAN AONGOA KIKAOCHA MAKATI KUU MAALUM

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha kwanza cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa kwa Mwaka 2023 kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2023.

About the author

mzalendoeditor