Featured Michezo

PELE AFARIKI DUNIA NA REKODI YA WORD CUP TATU

Written by mzalendoeditor

Legend wa Brazil Edson Arantes do Nascimento Pele amefariki Dunia leo akiwa na umri wa miaka 82 nchini kwao Morumbi Sao Paulo Brazil baada ya kusumbuliwa na kansa kwa muda mrefu.

Pele anayetajwa kama miongoni mwa wachezaji wa kipekee kuwahi kutokea Duniani amewahi kutwaa Kombe la Dunia mara tatu akiwa na Brazil.

About the author

mzalendoeditor