Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

WIZARA YAANZA KAMPENI MKOA KWA MKOA KUPINGA VITENDO VYA UKATILI NCHINI

Written by Alex Sonna

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Wakili Msomi Amon Mpanju akizungumza katika Kilele cha Kampeni maalum ya kupambana na vitendo vya ukeketaji mkoani Manyara.

……………………………

Na WMJJWM Manyara 

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Wizara za Kisekta na wadau wa Maendeleo imeanza Kampeni maalum ya Mkoa kwa mkoa kupambana na vitendo vya ukatili. 

Akizungumza wakati wa Kilele cha Kampeni ya kupinga ukeketaji mkoani Manyara Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Wakili Msomi Amon Mpanju amesema Wizara imeamua kuweka nguvu hasa katika kutoa elimu katika ngazi za Mkoa Halmashauri Kata mitaa na vijijini ili kusaidia Jamii kuondokana na vitendo vya ukatili.

Wakili Mpanju ameongeza kuwa kuharibika kwa Misingi ya Malezi Bora katika Jamii juu ya suala la Malezi na Makuzi imeelezwa kuwa chanzo cha Ukatili ndani ya Jamii hivyo Jamii inaoaswa kuzingatia swala la Malezi na kuwalinda Watoto dhidi ya vitendo vya ukatili.

Pia Wakili Mpanju ameitaka jamii ya mkoa wa Manyara kuunga mkono jitihada za Serikali na wadau za kupambana na Ukatili wa Ukeketaji nchini kwani wao ni ndio njia pekee ya kuondokana na vitendo hivyo.

Ameongeza kuwa Serikali pia inaweka Mkakati katika kuhakikisha Jamii inapata uelewa wa namna kuwalinda Watoto wao dhidi ya vitendo vya ukatili kwa kuanzisha Mwongozo wa Kuunda Madawati ya Ulinzi wa Mtoto shuleni unaosaidia kuwa na sehemu maalum kwa watoto kuripoti viashiria au wanapofanyiwa vitendo vya ukatili.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Lazaro Twange amesema Mkoa umejipanga thabiti katika kuifukia jamaa na kutoa elimu kupitia Maafisa Maendeleo ya Jamii Maafisa Ustawi wa Jamii ili kujenga uelewa wa madhara na matatizo ya Watoto wa kike kufanyiwa vitendo vya ukeketaji ambavyo ni miongoni mwa vitendo vya ukatili.

“Sisi tunawashukuru Wizara kwa kutuunga mkono katika mapambano haya dhidi ya ukeketaji mkoani hapa sio jambo rahisi sisi tutaendelea kuweka msisitizo katika elimu kwa jamii hasa watoto wa kike na wa kiume ili wawe mabalozi wazuri wa kupambana na Ukeketaji katika jamii” alisema Mhe. Twange

Naye Mwakilishi wa Dawati la Jinsia Polisi Makao Makuu Mariam Kipesa amesema Jeshi la Polisi kupitia Dawati hilo imeweka mikakati ya makusudi ili kuhakikisha ukatili hasa ukeketaji unatokomezwa Kawa kuunganisha nguvu ya pamoja baina ya Jeshi hilo wananchi na wadau wengine ili kukiokoa kizazi cha Watoto wa kike nchini.

Kwa upande wake Mbunge wa Simanjiro mkoani Manyara Mhe. Christopher Olesendeka ameitaka jamii ya Manyara kuendeleaza Kampeni ya kupinga ukeketaji katika Mitaa na vijijini vyao ili kuweza kukabiliana na vitendo hivyo hasa kupata uelewa wafanye nini wanapoona viashiria au kutokea kwa vitendo hivyo vya ukatili hasa ukeketaji.

Aidha Mwakilishi UNFPA Dkt. Majaliwa Marwa amesema Kampeni itakuwa chachu ya kupunguza au kutokomeza vitendo vya ukeketaji na ameishukuru Serikali kwa kuweka Mkakati wa Kutokomeza Ukeketaji kwani inaonyesha dhamira ya Serikali katika kutokomeza ukeketaji na jitihada za kutokomeza ukeketaji zinaanza na msichana mmoja mmoja, jamii na nchi nzima.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Wakili Msomi Amon Mpanju akizungumza katika Kilele cha Kampeni maalum ya kupambana na vitendo vya ukeketaji mkoani Manyara.

Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Mandi Kata ya Dabili Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wakifuatilia elimu ilivyokuwa ikitolewa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na mkoa katika Kilele cha Kampeni maalum ya kupambana na vitendo vya ukeketaji mkoani hapo.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM 

About the author

Alex Sonna