Featured Kitaifa

KINANA ATAJA MAMBO MANNE YALIYOKUWA YAKISIMAMIWA NA MWALIMU NYERERE ILI KULETA MAENDELEO

Written by mzalendoeditor

mbalimbali juu zikiomuonesha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM)Taifa ,Abdulrahman Kinana akisalimiana na Viongozi Waandamizi wa
Taasisi ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere na Shule ya Uongozi ya
Mwalimu Nyerere mara baada ya kuwasili jana Oktoba 12,2022 kwa ajili ya
kufungua mdahalo wa kumbukizi ya miaka 23 ya Mwalimu Julius
Nyerere,ulioandaliwa na Taasisi ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere
kwa kushirikiana na shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kwamfipa Kibaha
Mkoani Pwani.

Makamu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa ,Abdulrahman Kinana
alipokelewa pia na Gwaride la heshima kuoka kwa Vijana wa CCM mara baada
ya kupokewa na Viongozi Waandamizi wa Taasisi ya kumbukumbu ya Mwalimu
Julius Nyerere na Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere kwa ajli ya
kufungua mdahalo wa kumbukizi ya miaka 23 ya Mwalimu Julius
Nyerere,ulioandaliwa na Taasisi ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere
kwa kushirikiana na shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kwamfipa Kibaha
Mkoani Pwani.PICHA ZOTE NA MICHUZI JR- KIBAHA PWANI.

About the author

mzalendoeditor