Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATETA NA WATANZANIA WANAOISHI DOHA NCHINI QATAR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi Nchini Qatar (Diaspora) katika ukumbi wa Mandarin Oriental Doha tarehe 04 Oktoba, 2022.

Watanzania wanaoishi Nchini Qatar (Diaspora) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani_ wakati akizungumza nao  katika ukumbi wa Mandarin Oriental Doha tarehe 04 Oktoba, 2022.

About the author

mzalendoeditor