Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

MIRADI YA SHILINGI BILIONI 4.7 KUTEMBELEWA NA MWENGE WA UHURU RUKWA

Written by Alex Sonna
Mkuu  wa Mkoa wa Rukwa  Queen akitoa taarifa ya mbio za Mwenge wa Uhuru leo katika kijiji cha Kilyamatundu amapo alisema miradi 12 yenye thamani  ya shilingi Bilioni 4.7 itapitiwa katika halma5nne za mkoa huo. Kulia kwake ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahili Geraruma.
………………………………….
Na. OMM Rukwa 
Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake kwa mkoa wa Rukwa ambapo jumla ya miradi Kumi na Miwili yenye thamani ya shilingi Bilioni 4.7 itawekewa mawe ya msingi, kukaguliwa na kuzinduliwa katika halmashauri nne za Sumbawanga Vijijini, Kalambo, Manispaa ya Sumbawanga na Nkasi.
Akizungumzia  hali ya maandalizi,  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga leo (19.09.2022)  katika kijiji cha Kilyamatundu wilaya ya Sumbawanga  ukitokea mkoa wa Songwe ambapo alisema wananchi wapo tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru na kukimbizwa kwenye maeneo yao.
” Tupo tayari kukimbiza Mwenge wa Uhuru na kwamba tumejiandaa kwa kuwa na miradi iliyokidhi viwango na kuwa utakamilisha salama kazi yake ” alisema Sendiga.
Kwa upande wake Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahili Geraruma amewasihi watendaji na watumishi wa serikali kuzingatia viwango vya ubora wanaposimamia miradi ya maendeleo.
Geraruma akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kipeta alipweka jiwe la msingi la Kituo cha  Afya kilichochengwa kwa fedha tozo ya miamala shilingi Milioni 500 alionya dhidi ya vitendo vya kutozingatiwa vigezo na ucheleweshwaji wa matumizi ya fedha.
“Mradi huu ni mzuri lakini kuna mapungufu kidogo. Kutozingatiwa kwa viwango vya ujenzi ikiwemo BOQ pamoja na kutopata kibali cha TAMISEMI kuhusu maboresho ya ramani yanatia shaka uzalendo wa wataalam wetu wa halmashauri “alisema Geraruma.
Aidha akiwa katika mradi wa shule ya sekondari Katuhura kata ya Laela, Kiongozi huyo wa mbio za Mwenge Kitaifa aliweka jiwe la msingi la mradi huo na kutoa rai kwa watendaji wa halmashauri hiyo kuongeza kasi ili ifikapo mwezi Octoba mwaka huu mradi huo ukamilike na kuanźa kutumika.
Serikali ilitoa fedha shilingi Milioni 470 kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo mpya ya sekondari Katuhura ambapo ujenzi umefikia asiĺimia 70.
Mwenge wa Uhuru leo umekamilisha mbio zake Halmashuri ya Wilaya ya Sumbawanga kwa kukagua , kuweka mawe ya msingi kwenye miradi minne na kuzungumza na wananchi .
Kesho Mwenge wa Uhuru utakimbizwa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga (kulia) akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya S5 Sebastian Waryuba (kushoto) leo katika kijiji cha Kilyamatundu mara baada ya kupokelewa ukitokea mkoa wa Songwe.
Mkuu  wa Mkoa wa Rukwa  Queen akitoa taarifa ya mbio za Mwenge wa Uhuru leo katika kijiji cha Kilyamatundu amapo alisema miradi 12 yenye thamani  ya shilingi Bilioni 4.7 itapitiwa katika halma5nne za mkoa huo. Kulia kwake ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahili Geraruma.
Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Bw. Rashid Mchatta akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru leo wakati wa mapokezi rasmi kwennye kijiji cha Kilyamatundu wilaya ya Sumbawanga. 
(Habari na Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa

About the author

Alex Sonna