RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum na Kiongozi wa Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China Dr. Qu , walipofia Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-9-2022, kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa Kazi Zanzibar katika hospitali za Unguja na Pemba .
MADAKTARI Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa kazi Zanzibar katika Hospitali za Unguja na Pemba, mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui akizungumza katika hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China baada ya kumaliza muda wao wa Kazi Zanzibar, kutowa huduma za Afya kwa Wananchi katika Hospitali za Unguja na Pemba, mazungumzo hayo yaliyoyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa kazi Zanzibar katika Hospitali za Unguja na Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha nishani mmoja wa Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China, wanaomaliza muda wao wa Kazi Zanzibar wa kutowa huduma za matibabu katika Hospitali za Unguja na Pemba, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-9-2022, kwa ajili ya kumuaga.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum na Kiongozi wa Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China Dr. Qu , walipofia Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-9-2022, kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa Kazi Zanzibar katika hospitali za Unguja na Pemba .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuiaga Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa kazi Zanzibar katika Hospitali za Unguja na Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
PICHA NA IKULU
(Picha na Ikulu