Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA WAZIRI MKUU WA DJIBOUT

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Djibout Abdoulkader Kamil Mohamed, jijini Tunis, Tunisia  Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliomalizika nchini humo hivi karibuni 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Djibout Abdoulkader Kamil Mohamed, jijini Tunis, Tunisia  Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliomalizika nchini humo hivi karibuni (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor