Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA VIONGOZI WA MAKAMPUNI YA JAPAN YALIYOWEKEZA TANZANIA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Japan Tobacco Inc ya Nchini Japan Bw. Mutsuo Iwai  ambao ni wamiliki washirika wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) katika Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliofanyika jijini Tunis, Tunisia,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mitsubishi Yasuteru Hirai, katika Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliofanyika jijini Tunis, Tunisia,  28 Agosti 2022. Katika mazungumzo yao, Mheshimiwa Majaliwa ameiomba Kampuni hiyo kujenga kiwanda cha kuunganisha magari Tanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor