Featured Kitaifa

KATIBU MKUU CHONGOLO ASHIRIKI ZOEZI LA SENSA

Written by mzalendoeditor

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Faith Buruhani (kushoto) wakati wa kuhesabiwa kwenye makazi yake Msasani jijini Dar es salaam leo tarehe 23, Agosti 2022. (Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)

About the author

mzalendoeditor