Featured Kitaifa

WAZIRI MASAUNI ATETA NA WATENDAJI WAKUU WA JESHI LA MAGEREZA, WAJADILI UTENDAJI KAZI, JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza nchini, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi, katika kikao kilichofanyika, jijini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza Kaimu Mkuu wa Jeshi la Magereza, DCP. Jeremiah Yoram Katungu, wakati alipokuwa akizungumza masuala ya utendaji kazi wa Jeshi hilo, katika kikao kilichofanyika, jijini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza nchini, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi, katika kikao kilichofanyika, jijini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza nchini, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi, katika kikao kilichofanyika, jijini Dodoma, leo Agosti 13, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

About the author

mzalendoeditor