Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tipobet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WZIRI MHAGAMA ARIDHISHWA NA NAMNA e-GA INAVYOWEZESHA VIJANA WA VYUO VIKUU KUFANYA TAFITI NA UBUNIFU WA MIFUMO YA TEHAMA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza wakati wa kikao kazi chake na vijana wa Vyuo Vikuu wanaofanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kilichofanyika jijini Dodoma.

Vijana wa Vyuo Vikuu wanaofanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi kuona kazi inayofanywa na vijana hao katika kituo hicho jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri wa ofisi yake, Mhe. Jenista Mhagama kufungua kikao kazi chake na vijana wa Vyuo Vikuu wanaofanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kilichofanyika jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Mhandisi Benedict Ndomba akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) mara baada ya Waziri Jenista kufungua kikao kazi chake na vijana wa Vyuo Vikuu wanaofanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kilichofanyika jijini Dodoma.

Mmoja vijana wa Vyuo Vikuu wanaofanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Bi. Faith Chilongani akimuelezea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama namna wanavyofanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo alipotembelea kituo hicho kwa lengo la kuona kazi inayofanywa na vijana hao jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama (wakwanza kushoto) akipokelewa na    Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Mhandisi Benedict Ndomba mara baada ya kuwasili katika ofisi za Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) jijini Dodoma. Wakwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – UTUMISHI, Bw. Xavier Daudi.

Mmoja wa wanafunzi wanaofanya kazi ya tafiti katika Kituo cha Utafiti na Ubunifu wa mifumo ya TEHAMA, Bi. Lina Lajo akishukuru kupata fursa ya kujifunza kwa njia ya vitendo katika Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha e-GA wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama alipotembelea kituo hicho kwa lengo la kuona kazi inayofanywa na vijana hao katika kituo hicho jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya vijana wa Vyuo Vikuu wanaofanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) mara baada ya kumaliza kikao kazi chake na vijana hao kilichofanyika jijini Dodoma. Wakwanza kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Xavier Daudi na wakwanza kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Mhandisi Benedict Ndomba.

…………………………

Na. Veronica Mwafisi-Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama ameridhishwa na kazi inayofanywa na vijana wa Vyuo Vikuu wanaofanya utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA kupitia Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), mifumo ambayo itasaidia kutatua changamoto zinazokwamisha maendeleo katika sekta ya kilimo, nishati, madini na uchumi.

Mhe. Jenista amesema hayo, mara baada ya kukitembelea Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) na kujionea kazi inayofanywa na vijana hao wa vyuo vikuu waliochukuliwa na e-GA kwa lengo la kuwajengea uwezo katika eneo la utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA ambayo itakuwa na tija katika kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Mhe. Jenista ameongeza kuwa, kuna utafiti mkubwa wa kimkakati unaofanya na vijana hao wa vyuo vikuu, ambao utaiwezesha Serikali kukusanya mapato ya kutosha yatakayotumika na Serikali katika kuleta ustawi wa taifa na maendeleo ya wananchi.

“Ninaipongeza menejimenti ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kwa kuwa na mkataba maalum unaowawezesha kuwapata hawa vijana kutoka vyuo vikuu ili kuwapatia mafunzo kwa njia ya vitendo kwenye eneo la utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA itakayolisaidia taifa kuingia kwenye uchumi wa kidigitali,” Mhe. Jenista amefafanua.

Mhe. Jenista amesisitiza kuwa, matokeo ya kazi nzuri ya utafiti na ubunifu huo wa mifumo ya TEHAMA, yatakuwa ni utoaji wa huduma bora kwa wananchi kwani mifumo hiyo itawarahisishia wananchi kupata huduma bora na kwa wakati katika taasisi za umma.

“Kupitia mifumo itakayobuniwa, huduma zitatolewa kwa wananchi kwa gharama nafuu, mapambano dhidi ya rushwa yataimarika, mapato ya serikali yataongezeka ikiwa ni pamoja na kuimarika kwa usimamizi wa matumizi sahihi wa fedha za umma,” Mhe. Jenista ameeleza.

Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi amesema kuwa, utafiti na ubunifu unaofanywa na vijana wa Vyuo Vikuu kupitia Kituo hicho  unaonesha kuwa taifa limeanza kupiga hatua kwa kuwatumia vijana kuleta maendeleo, na kuongeza kuwa alichojifunza ni kuwa, kama nchi tunaweza kuwatumia vijana katika tafiti na bunifu zenye tija kwa taifa.

Naye, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) amesema kwa sasa Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha e-GA kina uwezo wa kuchukua wanafunzi wa mazoezi kwa njia ya vitendo wapatao 100, lakini mamlaka ina mpango wa kuongeza uwezo wa kituo ili hapo baadae kiweze kuchukua wanafunzi kati ya 300 hadi 500 kwa wakati mmoja.

Mmoja wa vijana walionufaika na kituo hicho, Bw. Edward Sultan amesema Serikali kwa upande wake imeshatekeleza wajibu wake wa kuanzisha Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha e-GA ambacho kina vitendea kazi vyote vinavyohitajika, hivyo ni jukumu la vijana wa Vyuo Vikuu wanaofanya utafiti, ubunifu waliopata nafasi ya kufanya mazoezi kwa njia ya vitendo kufikiri walifanyie nini taifa ambalo limewapa fursa ya kutoa mchango katika eneo la utafiti na ubunifu wa mifumo ya TEHAMA.

Mnufaika mwingine wa kituo hicho, Bi. Lina Lajo ameshukuru kupata fursa ya kujifunza kwa njia ya vitendo katika Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha e-GA na kuongeza kuwa, kituo hicho ni sehemu nzuri ya kujifunza na kutoa mchango kwa taifa kama vijana.

Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Mifumo cha Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kilianza kupokea wanafunzi wa mazoezi kwa njia vitendo kutoka katika vyuo vikuu kuanzia mwaka 2019 mpaka sasa 2022 ambao wameshiriki katika ujenzi wa mifumo ya TEHAMA kama vile Mfumo wa e-Mrejesho, Mfumo wa e-Mikutano, Mfumo wa e-Dodoso na Mfumo wa e-Board ambayo inatumika hivi sasa Serikalini.

About the author

Alex Sonna