Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

KAMPENI YA STAMICO NA MAZINGIRA AT 50 YAZINDULIWA JIJINI DODOMA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Doto Biteko,wakiongoza matembezi kutoka eneo la Hoteli ya Royal Village kuelekea Ipagala ambako kulifanyika zoezi la upandaji miti ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO).

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (katikati) akishiriki mazoezi ya viungo na viongozi wengine kulia Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Doto Biteko na Mkuu wa Mkoa Dodoma Rosemary Senyamule wakati wa uzinduzi wa ‘STAMICO na Mazingira At 50’ iliyoambatana na tukio la upandaji miti katika eneo la wazi Ipagala jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO).

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza wakati wa uzinduzi wa ‘STAMICO na Mazingira At 50’ iliyoambatana na tukio la upandaji miti katika eneo la wazi Ipagala jijini Dodoma leo Agosti 11,2022 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO).

Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati wa uzinduzi wa ‘STAMICO na Mazingira At 50’ iliyoambatana na tukio la upandaji miti katika eneo la wazi Ipagala jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO).

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule akzungumza wakati wa wakati wa uzinduzi wa ‘STAMICO na Mazingira At 50’ iliyoambatana na tukio la upandaji miti katika eneo la wazi Ipagala jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO).

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Dkt. Venance Mwasse akitoa neno la utangulizi wakati wa wakati wa uzinduzi wa ‘STAMICO na Mazingira At 50’ iliyoambatana na tukio la upandaji miti katika eneo la wazi Ipagala jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO).

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa ‘STAMICO na Mazingira At 50’ iliyoambatana na tukio la upandaji miti katika eneo la wazi Ipagala jijini Dodoma leo Agosti 11,2022 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO).

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizindua Kampeni ya ‘STAMICO na Mazingira At 50’ iliyoambatana na tukio la upandaji miti katika eneo la wazi Ipagala jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO).

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipanda mti wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya ‘STAMICO na Mazingira At 50’ iliyoambatana na tukio la upandaji miti katika eneo la wazi Ipagala jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO).

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akipanda mti wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya ‘STAMICO na Mazingira At 50’ iliyoambatana na tukio la upandaji miti katika eneo la wazi Ipagala jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO).

…………………………..

Na Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI  wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaelekeza wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kuhusisha masharti ya upandaji miti kwa vibali vya ujenzi.

Kauli hiyo ameitoa leo Agosti 11, 2022 wakati akishiriki uzinduzi wa kampeni ya ‘STAMICO na Mazingira At 50’ iliyokwenda sambamba na zoezi la upandaji miti katika eneo la wazi Ipagala jijini Dodoma ambapo imepandwa miti 540  katika eneo hilo kati ya 2,000 itakayopandwa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)

Dk.Jafo amesema kuwa ili kuwa na dhamira ya dhati katika utunzaji wa mazingira na kupambana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi katika zinazoyakabili maeneo mbalimbali nchini wakurugenzi wanapogawa viwanja wahakikishe vinakuwa na eneo la kupanda miti.

“Natoa maelekezo kwa wakurugenzi wote ndani ya Tanzania kuwa mnapogawa viwanja vya watu kwenda kujenga nyumba, vibali vya ujenzi lazima alete ramani ya jengo inayoonyesha miti mingapi itapandwa”amesema Waziri Jafo

 Dkt. Jafo ameipongeza Wizara ya Madini na shirika hilo kwa kuunga mkono juhudi za Serikali katika utunzaji wa mazingira.

“Niwapongeze  STAMICO kwa kuja na kampeni hii ambayo itatusaidia katika kuifanya Dodoma na mikoa mingine kuwa ya kijani na mnaonesha kuunga mkono juhudi za viongozi wetu wakuu ambao wamekuwa wakituelekeze tutunze mazingira,” amesema.

 Waziri Jafo amepongeza juhudi zinazofanywa na wadau mbalimbali za kupanda miti ambapo kupitia zoezi la upandaji miti milioni 1. 5 kwa kila halmashauri kwa mwaka limeonesha mafanikio kwa kufikia zaidi ya asilimia 80.

Aidha, Dk.Jafo ameiagiza  miti iliyopandwa itunzwe ili isiliwe na ng’ombe huku akitoa siku 14 kwa Stamico kujenga uzio na kuweka geti katika eneo k hilo.

“Dodoma ni mkoa pekee ambao utakuta ng’ombe wanatembea barabarani miti ili mkiipanda isipotunzwa maana yake  yote italiwa na ng’ombe Mtendaji Mkuu Stamico nakuagiza ndani ya wiki mbili..

Hata hivyo Waziri Jafo amehimiza matumizi ya nishati mbadala ili kupunguza kasi ya ukataji wa miti kwa ajii ya kuni na mkaa na hivyo kupunguza changamoto ya mabadiliko ya tabianchi ambayo husababisha uchumi wa nchi kushuka.    

Kwa upande wake Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Doto Biteko,ameitaka  STAMICO kuhakikisha  wanaisimamia miti hiyo na kuitunza iweze kuishi kwa miaka mingi zaidi.

”Haitakuwa na maana kama tunatumia muda na rasilimali kupanda miti halafu inakufa itakuwa hatutendi haki hivyo tunapaswa kupanda miti mingine.”amesema Dk.Biteko

Waziri Biteko amemshuruku Waziri Jafo kwa kushiriki katika kampeni ya upandaji miti pamoja na kutoa hamasa kwa wananchi kuunga mkono juhudi za Serikali katika kutunza na kuhifadhi mazingira.

Naye Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dkt. Venance Mwasse amesema kuwa wanatarajia kupanda miti 10,000 na kwa awamu ya kwanza ilipandwa miti 100 kati ya 2,000 itakayopandwa katika jiji la Dodoma na baadaye 8,000 iliyobaki katika mikoa mingine ambako inaendesha miradi yake.

”Lengo la kampeni hiyo ni kushiriki kikamilifu katika zoezi la utunzaji wa uoto wa asili na kuleta hamasa ya kutunza mazingira ili shughuli za uchimbaji madini ziwe rafiki kwa mazingira.”Dkt.Mwasse

Awali Naye Mkuu wa Mkoa wa Rosemary Senyamule ,ameitaka STAMICO kutafuta teknolojia mbadala wa matumizi ya miti katika shughuli za wachimbaji wadogo wa dhahabu ili kupunguza ukataji wa miti.

”Shughuli za madini ni muhimu na zinapaswa kuwa endelevu kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu lakini zinapaswa kuzingatia uhifadhi wa mazingira”amesema 

Hata hivyo Senyamule ameahidi kutoa ushirikiano kwa Ofisi ya Makamu wa Rais katika kuifanya Dodoma kuwa ya kijani na kupongeza juhudi zilizofanyika katika kuhakikisha mazingira yanahifadhiwa.

About the author

Alex Sonna