Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

kulisbet giriş

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MAKAMBA:”TUMEAMUA KUTEKELEZA MRADI MKUBWA WA UMEME RUMAKALI”

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba (mbele) akiwasili katika eneo kutakapotekelezwa mradi wa umeme wa maji wa Rumakali utakaozalisha umeme wa kiasi cha megawati 222 katika Kijiji cha Rumaga wilayani Makete. Kulia kwake ni Mbunge wa Makete, Mhe.Festo Sanga.Sehemu ya Mto Rumakali ambao maporomoko yake ya maji yatazalisha umeme wa kiasi cha megawati 222 katika Kijiji cha Rumaga wilayani Makete.Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba (mwenye miwani) akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Rumaga wilayani Makete ambapo utatekelezwa mradi wa Rumakali utakaozalisha umeme wa kiasi cha megawati 222..

……………………,….

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, Serikali imeamua kutekeleza mradi wa umeme wa maji ya Rumakali (MW 222) wenye thamani ya shilingi Trilioni 1.4 uliopo wilayani Makete mkoani Njombe ili kuwezesha nchi kuwa na umeme wa kutosha kutoka vyanzo mbalimbali vya nishati. 

Alisema hayo tarehe 29.07.2022 akiwa katika Kijiji cha Rumaga wilayani Makete baada ya kutembelea eneo ambalo mradi utatekelezwa ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku mbili mkoani Njombe ambapo pamoja na kukagua miradi ya nishati, alisikiliza kero za wananchi na kuhamasisha matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia.

Makamba alisema kuwa katika Bajeti ya mwaka 2022/2023 shilingi bilioni 8 zimetengwa kwa ajili ya kazi za maandalizi ambazo zinajumuisha masuala mbalimbali kama vile utayarishaji wa nyaraza za zabuni, uthaminishaji na ujenzi wa miundombinu wezeshi ikiwemo barabara. 

Akizungumza na wananchi wa eneo hilo aliwaahidi kuwa, kila mwananchi atakayepisha mradi atalipwa fidia stahiki na ametoa wito kwa wananchi hao kujiandaa na fursa mbalimbali zitakazotokana na mradi huo ikiwemo ajira na kutoa huduma mbalimbali ikiwemo za chakula, malazi na usafiri. 

Ili mradi huo wa maji na mingine iweze kuwa endelevu, Waziri Makamba alitoa wito kwa wananchi kuendelea kutunza vyanzo vya maji na kwamba Wizara ya Nishati kupitia TANESCO Imetenga fedha za kutosha Kwa ajili ya kushiriki kwenye shughuli za uhifadhi wa mazingira.

Mbunge wa Makete, Mhe.Festo Sanga aliishukuru Serikali kwa kutenga Fedha hizo za kuanza kutekeleza mradi huo wa Rumakali na kueleza kuwa wananchi wameshaanza kuchangamkia fursa za kuhudumia watu takriban 7000 watakaokuwa kwenye mradi huo. 

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Makete, Juma Sweda alisema kuwa mradi huo ukianza utakuza ajira wilayani humo na kuongeza mzunguko wa fedha hivyo alimuahidi Waziri wa Nishati kuwa Wilaya hiyo itashirikiana na Wizara ya Nishati kuhakikisha mradi huo unafanikiwa.

Kuhusu hali ya umeme wilayani humo, alisema kuwa inaridhisha na upatikanaji wa mafuta pia unaridhisha. 

Kuhusu usambazaji umeme vijijini alisema kuwa, Wilaya hiyo ina vijiji 93 ambapo ni vijiji 37 tu ambavyo bado havina umeme na kwamba mkandarasi anaendelea na kazi na fedha kiasi cha shilingi Bilioni 10 zimetengwa kwa ajili ya kazi hiyo.

About the author

Alex Sonna