Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA UJUMBE WA WABUNGE KUTOKA MAREKANI

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  ujumbe wa wabunge kutoka Bunge la Marekani kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na  ujumbe wa wabunge kutoka Bunge la Marekani baada ya kuzungumza nao kwenye ukumbi wa ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,Februari 23, 2022. Kushoto ni Balozi wa Marekani nchini,Dkt. Donald Wright. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Gregory Meeks zawadi ya picha ya mlima Kilimanjaro ambaye ni Kiongozi wa jumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Marekani, baada ya Waziri Mkuu kuzungumza na ujumbe huo kwenye ukumbi wa ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam, Februari 23, 2022. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor